
Jichukulie wewe kama kampuni, kama ungekuwa kampuni watu wangekuwa wanahamasika kuwekeza katika kampuni hii (ambayo ni wewe) au wasingekuwa na hamu kabisa.
na swali tamu sana kuhusi hili kwamba je, ungekuwa unawekeza kwenye kampuni ambayo ni wewe, ungewekeza kwenye wewe?
SOMA ZAIDI:
- Jambo Moja Kubwa La Kujifunza Kutoka Kwa Kampuni ya Alibaba
- JINSI YA KUMILIKI KAMPUNI KUBWA KWA MTAJI KIDOGO