Picha hizi hapo ni picha za matangazo ya kampuni ya Alibaba ambayo binafsi nimekutana nayo mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii.
Mtandao wa alibaba ni moja ya mtandao ambao unawekeza sana kwenye mtangazo. Ukiingia google unakutana na matangazo yao.
Ukiingia youtube, unakutana na matangazo yao.
Ukiingia facebook, matangazo yao pia yapo,
Ukiwa instagrama matangazo yao yapo.
Na hata kwenye messenger wapo.
Yaani, alibaba hawana dogo.
hawadharau mtandao.
Wakijua kwamba sehemu fulani kuna watu, basi na wenyewe wapo.
Kitu kikubwa ambacho tunaweza kujifunza kwao ni kutumia kila njia kuwafikia wateja.
Ni kweli najua kwamba unaweza usiwe na bajeti kubwa kama hiyo ya alibaba, lakini bado hili halimaanishi kwamba unapaswa kurudi nyuma kwenye kuitangaza biashara yako.
Endelea kuitangaza biashara yako bila ya kurudi nyuma kila kukicha.
Tumia kila njia ambayo unaweza kutumia.
SMS
WHATSAP
SIMU ZA KAWAIDA
MITANDAO YA KIJAMII
Unapokutana na watu
Maonesho mbalimbali
Watu maarufu
Content creators
Yaani, kama kuna njia ambayo unaweza kutumia, itumie.
Uwe na siku njema.
Hii picha inaonesha bajeti ya alibaba kwenye matangazo tu kila mwaka
Najua kuwa ungependa kupata ushauri wa karibu zaidi moja moja kwa moja kutoka kwangu.
Nitafute tuone ni lini nitakuwa na muda, ili nikupangie ratiba ya kuongea na wewe. Utalipia kiasi kidogo tu.
Saa moja ni laki moja mazungumzo kwa njia ya mtandao.
SAA MOJA NI LAKI MBILI NA NUSU MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA. Malipo yanafanyika kwanza, kisha unapewa tarehe (appointment) tutakapoweza kuongea.
Tumia namba ya simu +255 755 848 391 kuwasiliana nami.
Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza ambaye anaishi Morogoro nchini Tanzania.
Unaweza kujifunza zaidi kutoka kwa Godius Rweyongeza kupitia youtube channel yake hapa
Kwa ushauri niandikie songambele.smb@gmail.com
Kupata vitabu ambavyo ameandika Godius Rweyongeza, wasiliana naye kwa +255 684 408 755 na orodha ya vitabu vyenyewe unaweza kuiona HAPA. Chagua unachopenda, kisha twanga, +255 684 408 755
Kujiunga na programu yetu ya uandishi. Wasiliana na +255 678 848 396
For Consultation only: +255 755 848 391 au godiusrweyongeza1@gmail.com