Category: KIPAJI

  • KIPAJI NI DHAHABU: Jinsi Ya Kukigundua, Kukinoa Na Kukitumia Kipaji Chako Kwa Manufaa

    Kwenye kurasa za kitabu hiki nimeeleza kipaji kwa kina kiasi kwamba kama kitabu hiki anakisoma mtoto wa miaka sita aweze kunielewa. Kwenye sura ya kwanza nimeanza kwa kueleza kwamba kipaji ni kitu gani? Ambapo nimeeleza dhana nzima ya kipaji na jinsi kinavyofanya kazi. Kwenye sura ya pili nimeeleza namna ambavyo unaweza kugundua kipaji chako. Je,…

  • Kipaji Siyo Kuimba Muziki Peke Yake

    Mara nyingi ukionge na watu juu ya suala zima la kipaji wanadhani kuwa kipaji ni kuimba muziki peke yake. Sasa leo nataka nikwambie kwamba kipaji siyo kuimba muziki peke yake. Usilazimishe kuimba muziki wakati kipaji chako siyo hicho. kama kweli una kipaji cha kuimba basi imba, ila siyo kulazimisha kuimba kwa sababu kila mtu anadhani…

  • KIPAJI NI DHAHABU-1 binadamu wote ni sawa ila uwezo ni tofauti

    KIPAJI NI DHAHABU-1 binadamu wote ni sawa ila uwezo ni tofauti

    Walau siyo mara yako kusikia kuwa binadamu wote ni sawa. Au kusikia haki sawa kwa wote. Japo kuna huo usawa kwa watu wote,  linapokuja suala zima la kipaji na  uwezo mkubwa tulionao tunatofautiana. Ndio maana kuna watu wanajulikana kama multi-talented. Wana uwezo katika maeneo tofauti tofauti na wanaweza kuyafanyia kazi hayo maeneo kwa ustadi. Diamond…

X