Kipaji Siyo Kuimba Muziki Peke Yake


Mara nyingi ukionge na watu juu ya suala zima la kipaji wanadhani kuwa kipaji ni kuimba muziki peke yake. Sasa leo nataka nikwambie kwamba kipaji siyo kuimba muziki peke yake.

Usilazimishe kuimba muziki wakati kipaji chako siyo hicho. kama kweli una kipaji cha kuimba basi imba, ila siyo kulazimisha kuimba kwa sababu kila mtu anadhani kuimba muziki ndio kipaji.

Ninachotaka ufahamu ni kuwa kuna vipaji vya aina nyingi,  wewe mwenyewe unapaswa ujitafute uone kipaji chako kipo wapi?

Hiki kitu nimekieleza kwa kina kwenye kitabu changu cha Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni. Ndani ya hiki kitabu, kuna sura maalumu tu kwa ajli ya kukusaidia wewe kugundua kipaji chako, kukifanyia kazi mpaka kuweza kukiendeleza? Kupata kitabu hiki wasiliana name kwa 0755848391

Labda unajiuliza kipaji ni nini sasa?

Soma hii makala hapa.

Fanya hivyo sasa hivi.

Umekuwa nami

Godius Rweyongeza

0755848391

Morogoro-Tz

Kwa maswali, maoni au booking: songambele.smb@gmail.com

Kama na wewe ungependa kupata kitabu hiki jaza taarifa zako hapa chini


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X