Category: UJASIRIAMALI

  • Jinsi Ya Kutatua Changamoto Unazokutana Nazo

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu wa ukweli. Leo ni siku nyingine ya kipekee sana na leo nataka nikwambie kwamba usikubali kamwe kwenye maisha yako changamoto zikuzuidi wewe kukufanya ushindwe kufanikisha malengo yako. Siku zote changamoto huwa zinatokea. Changamoto ni kama zinatokea kukuonesha kwamba je, uko siriazi kweli na kile kitu ambacho unataka.…

  • Hizi Hapa Ni Sababu Za Kwa Nini Unapaswa Kufanyia Wazo Lako Mwaka Huu Na Sio Kusubiri

    Natumai kwamba unaendelea vyema. Ni takribani wiki nzima sasa nimekuwa nikiandika makala kuhusu wazo la biashara. Kila siku tumekuwa tunapata makala moja iliyojishosheleza na yenye ujumbe uliokamilika. Sasa leo nimerudi tena kwa lengo la kukueleza kwa nini unapaswa kufanyia wazo lako la biashara mwaka huu na sio mwaka mwingine. Najua kwamba ninachoenda kuandika hapa ni…

  • Kama Hujui Ni Kitu Gani Unapaswa Kufanya Maishani, Anzia Hapa

    Inatokea kwamba watu wengine kwenye maisha wapo kwenye hali ambayo hawaelewi wanapaswa kufanya nini wala ni wapi wanapaswa kuelekea. Sasa kwenye makala ya leo naenda kuongea na watu wa aina hii na kuona ni kwa jinsi gani ambavyo wanaweza kutumia fursa zilizopo kwenye maisha kuhakikisha kwamba wanasonga mbele. Hivyo, kama wewe haupo kwenye hali hii…

X