Ukitembea Na Kauli Hii Ndani Ya 2019, Basi Jua Kwamba Unajiandaa Kupotea


Hakuna haraka barani Afrika.

Huu ni usemi ambao umezoeleka sana katika nchi za bara la Afrika, na haswa Tanzania.

Watu huwa wanaukumbatia usemi huu kama vile ni amri. Na falsafa hii kweli ina wafuasi wengi sana.

Ila napenda kukwambia kwamba ukiishi kwa kauli mbiu hii ndani ya 2019 basi unajiandaa kupotea. Sikudanyanyi ila ukweli ndio huo.

Wengine kauli hii wameikuza wakifikia hatua ya kusema waafrika huwa wanawahi mazishi tu!

Sasa ndani ya 2019 ondoa kwenye kamusi yako kauli hii. Kama tayari kauli hii imekuwa falsafa ya maisha yako, basi ebu ibadilishe. Anza kutembea kwa kuwahi mwaka huu. Kuchelewa kwako kuwe mwiko kabisaaa! Asante sana,
Tukutane kwenye jukwaa la wanamafanikio ndani ya 2019.

Soma Zaidi; Vitu Utakavyojifinza Kwenye Kurasa Za Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni

Sababu Mbili Zinazpwafanya Watanzania Warudi Nyuma Linapokuja SualanLa Mafanikio

Ndimi,
Godius Rweyongeza
0755848391

KUPATA KITABU CHA KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI BONYEZA HAPA


HUDUMA NYINGINE UNAZOWEZA KUPATA KWANGU HIZI HAPA

KUPATA MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM KILA WIKI BONYEZA HAPA

, ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X