Category: MUDA

  • Jijengee Utaratibu Wa Kusema Kidogo Na Kuwa Na Matendo Makubwa

    Kuna usemi kuwa ni rahisi kusema ila vigumu kutenda. Na katika ulimwengu huu ambao tunaishi sasa hivi wasemaji ni wengi. au watu wenye maneno ni wengi. unaweza kukuta watu kwenye mitandao yao ya kijamii wameandika kwamba wao ni wakurugenzi wa makampuni, wakiwa hawaweki juhudi za kuanzisha hayo makapuni.   Kitu pekee ambacho ninaweza kusema kwako…

  • Hatimaye Leo Nimemnasa Aliyesema Hakuna Haraka Barani Afrika

    KWA siku sasa nimekuwa nikijiuliza, hivi ni mtu gani aliyesema kuwa hakuna haraka barani Afrika. Leo hiiĀ  tarehe 12.4.2020 ndio nimemgundua huyu mtu aliyesema huu usemi. Najua unajua kuwa usemi huu ndio ule usemi ambao, watu wengi huwa wanautumia kama kisingizio cha kuchelewa. mambo ya maana. Usemi huu ndio umepelekea mpaka watu wengine kuamini kuwa…

  • Jicho La Muda-1

    Kwa siku unayo masaa 24 sawa na mtu mwingine anayeishi hapa duniani. Hakuna MTU kwenye muda zaidi ya wewe hata kama ni tajiri kuliko wewe au masikini. Muda wote ni masaa 24. Mpaka sasa hivi hakijagunduliwa kifaa chochote chenye uwezo wa kuongeza muda wa mtu au kupunguza muda wa mtu masaa ni yale yale 24…

  • Ukitembea Na Kauli Hii Ndani Ya 2019, Basi Jua Kwamba Unajiandaa Kupotea

    Hakuna haraka barani Afrika. Huu ni usemi ambao umezoeleka sana katika nchi za bara la Afrika, na haswa Tanzania. Watu huwa wanaukumbatia usemi huu kama vile ni amri. Na falsafa hii kweli ina wafuasi wengi sana. Ila napenda kukwambia kwamba ukiishi kwa kauli mbiu hii ndani ya 2019 basi unajiandaa kupotea. Sikudanyanyi ila ukweli ndio…

  • JE, UNAAMKA SAA NGAPI? UNAFANYA NINI BAADA YA KUAMKA? Mbinu Mpya Na Zilizothibitishwa Zitakazokuwezesha Kuamka Asubuhi Na Mapema

    Habari ya siku hii njema sana rafiki, hongera sana kwa siku hii ya leo. Maana leo ni siku njema kweli maishani. Hakikisha unaitumia vyema. Moja kati ya swali ambalo nimekuwa naulizwa sana, ni swali la ninapata wapi muda wa kuandika makala mpya kila siku? Hili ni swali ambalo karibia kila mtu ninayekutana naye anapeda kujua…

  • MUDA WA ZIADA; Sehemu Moja Muhimu Ambayo Unaweza Kupata Muda Wa Kufanya Kazi Zako Ambazo Ni Tofauti Na Ajira

    Habari ya siku hii ya leo rafiki yangu. Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana kwako rafiki. Leo ni siku njema sana, hivyo hakikisha kwamba unaitumia leo hii kufanya makubwa sana. Mara nyingi sana unapoona watu wanaweza kufanya kazi fulani nyingi nyingi na kuziwezea basi unahisi kwamba hawa watu wana kipaji cha kipekee sana. Mfano…

  • Kitu Kimoja (01) Muhimu Kuhusu Muda

    Habari ya siku hii ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala kutoka katika blogu yako ya songa mbele. Imani yangu leo ni siku bora sana kwako na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unafanya makubwa sana ndani ya siku hii ya leo. Moja kati ya rasilimali muhimu sana ambayo ni lazima tuitumie vizuri sana…

  • UMUHIMU WA FAKIKA MOJA

    Ukitaka kujua umuhimu wa dakika moja, muulize mwanajeshi katika medani ya vita.  Kila dakika ambayo inakuja mbele yako kila wakati ni dakika  ya muhimu sana wala si ya kupoteza. Kila dakika hakikisha kwamba unaitumia kufanya mambo makubwa sana. usiipoteze hata  dakika moja katika kazi zako. Ipangilie vizuri kila dakika ambayo inakuja mbele yako ili uweze…

  • Mfahamu Vicenti Thomas Lombardi

    Vicenti Thomas Lombardi alizaliwa novemba 11 mwaka 1913 katika nchi ya marekani. Alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu na lakini pia alikuwa kocha wa timu za mpira Wa miguu ikiwemo timu ya mpira wa miguu ya GREEN BAY PACKERS. Kiukweli aliiongoza timu hii kupata vikombe kadha wa kadha katika nchi yake. Kuna vitu vingi sana…

X