Watu wanasukumwa na uroho wa kutajirika haraka linapokuja suala la fedha. Hivyo kwa sababu ya uroho huo wanajikuta kwamba wamewekeza fedha zao ambazo wamezitafuta kwa jasho kwenye mambo ambayo hata wao hawaelewi. Lengo lao likiwa ni kupata fedha nyingi kwa hara sana. rafki yangu u nakosea sana, tupo katika ulimwengu ambao paarifa mengi yanapatikana na kwa wingi. Hivyo ukijikuta kwamba unafanya kosa kwenye uwekezaji ambalo ulipaswa kuwa umelifanyia utafiti na kulijua. Epukana na hali hii kwa kuwa mfuatiliaji na kujifunza kiundani kitu ambacho unaenda kuwekeza.

 

Huwa napenda kujiuliza, hivi kama Warren Buffet angekuwa anaawekeza hapa, ni kweli angefanya hivyo? Ukiona kwamba mtu kama huyo hawezi kufanya uwekezaji wa aina hiyo, unapaswa kujua kwamba uwekezaji huo sio mzuri pia kwako.

 

 

,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X