-
USHAURI: Kwa Nini Maskini Wanapendelea Kuwa Maskini
Habari yangu ni njema sana. Kuna uhusiano mkubwa sana Tena sana Kati ya kuzaliwa kwenye familia masikini na kuendelea kuwa maskini maisha yako yote. Kwanza unapozaliwa kwenye familia masikini unachoona ni umaskini. Nahata stori zinazopigwa ni kimasikini. Wakiongelea matajiri wanaongelewa kama watu wabaya, watu ambao hawana huruma, watu ambao wanawaonea wengine. Watu ambao wameupata utajiri…
-
Sehemu Wanapokosea Wajasiriamali
Watu wengi wamekuwa wakifahamu kuwa ujasiriamali ndiyo njia ya uhakika ya kutoboa na kufanya makubwa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wanakosea kwa namna wanavyofanya ujasirimali na biashara zao kiasi kwamba, kutoboa kwao imekuwa ni ngumu sana. Kinachowakwamisha watu wengi ni kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja. Unakuta mtu ameanzisha biashara, wakati huohuo ana kitu kingine anachofanya…
-
Milionea Ni Nani?
Milionea ni mtu anayemiliki rasilimali zenye thamani ya milioni moja. Kutokana na thamani za fedha kutofautiana, kwa sasa kipimo kinachotumika kupima umilionea ni dola ya Marekani. Kwa hiyo ukisikia wanasema fulani ni milionea, ujue ni kwa thamani ya dola za Marekani. Hii ndio kusema kwamba unaweza unaweza kuwa na rasilimali zenye thamani ya milioni moja…
-
Bilionea Ni Mtu Wa Aina Gani?
Bilionea ni mtu anayemiliki rasilimali zenye thamani ya bilioni moja. Bilioni ina milioni elfu moja NDANI yake. Ubilionea hupimwa kwa thamani ya fedha ya nchi husika. Kutokana na thamani za fedha kutofautiana, kwa sasa kipimo kinachotumika kupima ubilionea ni dola ya Marekani. Kwa hiyo ukisikia wanasema fulani ni bilionea, ujue ni kwa thamani ya dola…
-
Anza Na Kina Kile Ulichonacho
Kabla hujasema kwamba haiwezekani na wala siwez i kufanya kitu fulani, jihoji kiundani na uangalie ni kitu gani unaweza kufanya. Kuna vitu vingi unaweza vizuri tu Kabla hujasema kwamba, sina cha kuanza nacho, angalia vizuri ikwenye mazingira yako ni kipi ulicho nacho ambacho unaweza kuanza kutumia sasa hivi. Kuna vitu ulivyo navyo ambavyo unaweza kuanza…
-
Njia Tano Za Kutengeneza Utajiri Na Moja Kuu Inayokufaa
Utajiri ni asili ya mwanadamu yeyote. Ni kitu muhimu kwake kuwa nacho. Kamusi ya kiswahili sanifu inasema kuwa utajiri ni hali ya kuwa na mali nyingi. Hata hivyo, leo hapa tunaenda kuona kuwa utajiri ni zaidi ya kuwa na mali nyingi. Maana kuna utajiri wa aina tatu. Kwanza, kuna utajiri mali na vitu vingine vizuri…
-
ACHA KUUA BIASHARA YAKO KWA KUFANYA VITU HIVIA HAPA. Vitu Saba (07)Ambavyo Unafanya Ila Vinaua Biashara Yako
Nichukue nafasi hii kukushukuru wee rafi ki yangu ambaye umekuwa unatembelea blogu kila mara. Asan te sana. wewe ndiwe unanifanya niendelee kuandika kila siku na kuweka masomo mapya hapa bila kuchoka. Nafurahi kuona kwamba blogu hii inawafikia maelfu ya watu kila mwezi. Ambao ninaamini wananufaika na hiki kinachoandikwa humu na hivyo kuendelea kuja zaidi ili…
-
Kitu Hiki Hapa Ndicho Watu Wamekuwa Hawajui Kuhusu Fedha
Hongera sana kwa siku hii ya leo rafiki yangu. Leo ningependa kuongelea kuhusu fedha. Maana, ni kitu ambacho watu wengi wanaogopa kukiongelea. Mtu akionekana anaongelea sana kuhusu fedha jamii inamchukulia kuwa ni mnafiki, na mtu ambaye haweki maslahi ya watu wengine mbele. Hata hivyo ni wazi kuwa mtu ambaye anaongelea fedha LAZIMA tu atakuwa…
-
Haya Ni Maajabu Yaliyojificha Kwenye Kutoa
Rafiki yangu kuna nguvu kubwa sana katika kutoa. Hii ni tabia ambayo unapaswa kujifunza na kuifanyia kazi kila siku. Nadhani utakuwa umewahi kusikia kuwa matajiri wana hadi mashirika ambayo yanahusika na utoaji. Kwa mfano, Bill Gates ana shirika la GATES AND MELINDA FOUNDATION. Elon Musk ana shirika la MUSK FOUNDATION na mabilionea wengine pia…
-
Fedha Inaondoa Matatizo? Au Matatizo Yanaondoa Fedha?
“ Tengua kauli, fedha inaondoa matatizo?, matatizo yanaondoa fedha”. Ilikuwa ni kauli ambayo ilisikika kutoka kutoka kwenye kikundi cha watu watano waliokuwa wakiongea na mtu mmoja aliyekuwa ng’ambo ya barabara. Ilikuwa jana jioni wakati nikienda kutuma vitabu pale stendi ya msamvu kuelekea Dodoma. Muda huo nilikuwa na mtu mmoja ambaye nilikutana naye barabarani tukiongea.…
-
Watu wanasukumwa na uroho wa kutajirika haraka linapokuja suala la fedha. Hivyo kwa sababu ya uroho huo wanajikuta kwamba wamewekeza fedha zao ambazo wamezitafuta kwa jasho kwenye mambo ambayo hata wao hawaelewi. Lengo lao likiwa ni kupata fedha nyingi kwa hara sana. rafki yangu u nakosea sana, tupo katika ulimwengu ambao paarifa mengi yanapatikana na…
-
Hiki Ni Kipimo Tosha Kwamba Sasa Umekomaa Kwenye Fedha
Kama unaweza kutembea na fedha, ukakutana na vitu vya kununua ila ukaacha kuvinunua japo una fedha, basi hapo ujue umeanza kukomaa. Kama hauna uwezo huu basi anza kuujenga. Tembea na kiasi fulani cha fedha, watu wakija kwako na vitu vya kukuuzia, wewe usinunue. Kila utakapopata kishawishi hiki, kishinde kwa kutoitumia hiyo fedha. Fanya hivyo kwa…