HUWEZI KUMKODISHA MTU WA KUKUPIGIA PUSH UP


 


Kuna vitu katika maisha huwezi kutafuta mtu wa kukusaidia wewe kuvifanya Ni LAZIMA tu uvifanye mwenyewe.
Huwezi kukodisha mtu wa kuweka Malengo kwa ajili yako.
Huwezi kukodisha mtu wa kula kwa niaba yako
Huwezi kukodisha mtu wa kupenda kwa niaba yako
Huwezi kukodisha mtu wa kupiga push-ups kwa noaba yako.

Ni lazina tu wewe upige push-ups zako.

Kwa hiyo jua vitu gani unavyoweza kuwaomba watu wakusaidie kuvifanya na vipi ambavyo ni vyako wewe mwenyewe kufanya.

Kila la kheri

Pata nakala ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI kwa elfu 10 tu.

Nakushukuru sana kwa kuweza kufuatilia somo hili mpaka mwisho. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi wa vitabu kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

Kupata nakala ngumu ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI na kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO basi tuma ujumbe au piga kwa 0755848391

Kujifunza namna ya kutengeneza fedha kupitia blogu tuwasiliane kwa 0755848391

Kunialika kwa ajili ya kutoa mafunzo au semina kwenye kikundi chako, taasisi, kongamano n.k. wasiliana nami kwa email: songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391


2 responses to “HUWEZI KUMKODISHA MTU WA KUKUPIGIA PUSH UP”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X