Kanuni Muhimu Unayopaswa Kuitumia Kwenye Kugawa Utajiri Wako


Kusikiliza makala hii BONYEZA HAPA

Umewahi kusikia usemi wa one mistake, onge goal? Yaani, ukiwa kwenye mchezo wa mpira wa miguu ukafanya kosa moja tu, kosa hili hapa linaweza kukupeleka wewe kufungwa goli ambalo litakunyima ushindi wa siku hiyo. na kama mechi hiyo ni fainali maana yake ndio umeshakosa kombe. halafu usiombe siku hiyo mkafungwa goli moja tu aisee, linauma hatari.

Sasa kuna watu kwenye maisha wamekuwa hawafanyi kosa moja tu hasa linapokuja suala zima la fedha, badala yake wamekuwa wakifanya makosa mengi, tena wamekuwa wakifanya makosa haya kwa kuyarudia kila mara kiasi kwamba inafikia hatua makosa haya yanakuwa kama sehemu ya maisha yao. Kwa hiyo, siyo kwamba watu hawa wanafungwa goli moja tu, badala yake ni kwamba wanafungwa magoli mengi tu. Ila kwa siku ya leo nimeona siyo mbaya, ngoja nikueleze kosa moja ambalo umekuwa ukilifanya bila ya wewe kujua.

Na kosa hili ni wewe kuweka fedha yako sehemu moja tu. Hili ni kosa kubwa sana kwa sababu ukiwekeza fedha yako sehemu moja na sehemu hiyo ikipata shida, utakuwa umepata shida pia. Kwa hiyo, badala ya wewe kuweka fedha zako sehemu moja unapaswa kuwa na maeneo kadha wa kadha ya kuweka fedha zako.na hivyo kuugawa utajiri wako kwa usawa. Kwa leo tunaenda kutumia kanuni ya 25/4

Kulingana na kanuni hii ni kwamba asilimia 25 ya fedha zako zinapaswa kuwa keshi.

Asilimia 25 ya pili ya fedha zako inapaswa kuwa maeneo ambapo ukikimbilia unaweza kuipata haraka kama benki, kwenye fixed deposit au kwenye uwekezaji wa vipande ambapo zinaweza kupatikana kwa haraka.

 

Asilimia 25 ya tatu inapaswa kuwa kwenye uwekezaji wa hisa

Asilimia 25 ya mwisho kwenye mali zisizohamishika kama mashamba na nyumba.

Hivyo ndivyo unapaswa kuugawa utajiri wako wakati wote.

Kama utapenda kujifunza kuhusu uwekezaji kwenye hisa, hatifungani na vipande basi nashauri ujipatie nakala ya kitabu cha MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE  kwa bei ya elfu nne (25,000) tu. Hii ni bei ya ofa, na itaisha muda siyo mrefu.

Cha kufanya, tuma fedha sasa mpesa 0755848391 ili uweze kutumiwa kitabu hiki kilichoeleza mambo makubwa kuhusu uwekezaji kwa lugha rahisi sana.

Tuma sasa kwa 0755848391 ili uweze kutumiwa kitabu hiki. Ukishatuma fedha tuma ujumbe kwa namba hiyo uhudumiwe haraka.

Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA

Jiunge na mfumo wa kupokea makala maalumu kwa njia ya barua pepe kwa KUBONYEZA HAPA

Jipatie nakala za vitabu vyangu vya kiswahili kwa KUBONYEZA HAPA

Kama ungependa kujifunza kuhusu uandishi kutoka kwangu wasiliana nami kwa 0755848391

kila la kheri

Najua kuwa ungependa kupata ushauri wa karibu zaidi moja moja kwa moja kutoka kwangu.

Nitafute tuone ni lini nitakuwa na muda, ili nikupangie ratiba ya kuongea na wewe. Utalipia kiasi kidogo tu.

Saa moja ni laki moja mazungumzo kwa njia ya mtandao.

SAA MOJA NI LAKI MBILI NA NUSU MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA. Malipo yanafanyika kwanza, kisha unapewa tarehe (appointment) tutakapoweza kuongea.

Tumia namba ya simu +255 755 848 391 kuwasiliana nami.

Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza ambaye anaishi Morogoro nchini Tanzania.

Unaweza kujifunza zaidi kutoka kwa Godius Rweyongeza kupitia youtube channel yake hapa

Kwa ushauri niandikie songambele.smb@gmail.com

Kupata vitabu ambavyo ameandika Godius Rweyongeza, wasiliana naye kwa +255 684 408 755 na orodha ya vitabu vyenyewe unaweza kuiona HAPA. Chagua unachopenda, kisha twanga,  +255 684 408 755

Kujiunga na programu yetu ya uandishi. Wasiliana na +255 678 848 396

For Consultation only: +255 755 848 391  au godiusrweyongeza1@gmail.com


One response to “Kanuni Muhimu Unayopaswa Kuitumia Kwenye Kugawa Utajiri Wako”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X