GODIUS RWEYONGEZA Books


GODIUS RWEYONGEZA

 

Ni mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali ambaye amejikita katika kuhakikisha anatimiza  kusudi lake la kuwafanya watu wawe na maisha bora na  kupiga hatua kubwa kimaisha kupitia kazi zake.

Amekuwa akifanya hivi kupitia maandishi yake, semina na  mafunzo anayotoa kwa watu na taasisi mbalimbali.

Mtandao wake wa SONGA MBELE umeweza kuwasaidia wengi kubadili maisha yao na kuchukua hatua za kipekee maishani mwao.

Maandishi yake pia yamechapwa kwenye magazeti mbalimbali hapa Tanzania.

 

Mpaka sasa GODIUS RWEYONGEZA ameandika vitabu zaidi ya 16 ambavyo ni

VITABU VYA NAKALA NGUMU (Hardcopies)

Hivi ni vitabu ambavyo unaweza kuvipata kwa mfumo wa nakala ngumu.

1. KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI; Tengeneza Kesho Bora Kwa Kuanzia Hapo Ulipo- 20,000/-

2. JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO; Kesho Yako Iko Mikononi Mwako- 20,000/-

Kupata nakala ngumu wasiliana na mwandishi kwa 0755848391. Kitabu chako kitatumwa na kukufikia popote pale ulipo.

3.NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA 20,000/-

4. MAISHA NI FURSA ZITUMIE ZIKUBEBE (20,000)

5. KIPAJI NI DHAHABU (10,000/-)

6. AKILI YA DIAMOND (10,000/-)

VITABU VYA NAKALA LAINI (SOFT COPIES)
Hivi ni vitabu ambavyo unaweza kuvipata kwa mfumo wa nakala laini (PDF na EPUB) na kusoma kwenye simu, tablet au kompyuta yako.

Vitabu hivi vya nakala laini unaweza  kwa kuwasiliana na mwandishi kupitia baruapepe ya songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391.

7. JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU NDANI YA SIKU 30; Kila Kitu Unachohitaji Kujua Kuhusu Uandishi Wa Vitabu Na Makala-5000/-

8. TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA; Tatizo Ni RasilimaliWatu Tunaowapoteza-10,000/-

9. JINSI YA KUIBUA UBUNIFU ULIO NDANI YAKO-5,000/-

10. MAAJABU YA KUSOMA VITABU (Toleo la 2)- 5,000/-

11. MAAJABU YA KUWEKA AKIBA-5,000/-

12. MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE-5,000/-

13. MAMBO 55 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA BIASHARA-5,000/-

NB: kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO pamoja na kitabu cha NGUVU YA VITU VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA VINAPATIKANA pia kwa mfumo wa adiobook au vitabu vilivyosomwa.

Gharama ya kila adiobook ni 10,000/-

 

AU  kwa kuwasiliana na mwandishi kupitia barua pepe ya songambele.smb@gmail.com au kwa simu 0755848391

 


15 responses to “GODIUS RWEYONGEZA Books”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X