Moja ya swali ambalo niliwahi kujiuliza miaka mingi iliyopita, lilikuwa ni namna gani naweza kutengenwza fedha mtandaoni?
Kiukweli swali hili lilipa shauku ya kutaka kujua mengi.
Kipindi hicho nilikuwa nasikia habari kuwa akina Millard Ayo wanalipwa kupitia mtandao. Sasa swali langu lilibaki, na mimi nawezaje kulipwa mtandaoni.
Swali hili lilinifanya niianze kujifunza kupitia kusoma maandiko mengi mtandaoni pamoja na vitabu. Baada ya miaka kadhaa ya kufanyia kazi yote niliyojifunza. Sasa ningependa kukupa na wewe mwongozo ili usihangaike tena kwa kujiuliza unawezaje kutengeneza fedha mtandaoni?
One response to “Jinsi Ya Kutengeneza Fedha Mtandaoni”
[…] Hiki kitu ndicho kilinifanya mimi niweze kuingia mtandaoni, na hiki kitu ndicho kimenifanya niweze kuendelea kuutumia mtandao huu wa intaneti mpaka leo hii. Niliwahi kuandika makala kama hii siku za Nyuma, hivyo hakikisha unaisoma hiyo makala HAPA […]