Kinachowatofautisha Wanaofikia Ndoto Zao Na Ambao Hawazifikii


Kitu kimoja kikubwa ambacho kinawatofautisha wanaofikia ndoto zao na ambao hawazifikii ni vitendo.

Wanaofikia ndoto kubwa ni watu wa vitendo. Siyo watu wa kukaa mtandaoni na kuanza kuzungumzia ndoto zao.

Bali vitendo vyao ndivyo vinaongea.

Wewe pia kama unataka kufikia ndoto zako. Tenda zaidi ya unavyoongea.

Hivyo tu. Anza leo.


2 responses to “Kinachowatofautisha Wanaofikia Ndoto Zao Na Ambao Hawazifikii”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X