Najua kuna wengi wangependa wagundue kipaji chao Leo hii na kesho yake wawe tayari wamekuwa mabingwa.
Hapana. Inachukua muda. Unahitaji muda kukinoa kipaji chako.
Kifanyie kazi kipaji chako kila siku.
Wewe wa leo hapaswi kuwa sawa na wewe wa jana na wiki ijayo. Kila wiki iwe wiki ya tofauti kidogo.
JIFUNZE kuitumia kanuni ya asilimia moja kwenye kipaji chako. Kanuni yenyewe unaweza kuisoma HAPA
SOMA ZAIDI: Kipaji ni dhahabu-3 njia ya kuwa gwiji