Ebu kwa mfano fikiria hili
Umezaliwa na kukua katika mazingira ambayo wewe mwenyewe kabisa unaona huyapendi.
Baadaye unasikia kuwa ukitaka kufanikiwa unapaswa kuweka malengo. Unaweka malengo lakini bado huoni matokeo makubwa, badala yake ni kama umeamua kujifukia kwenye shimo.
Habari za kuwa unapaswa kuwa mvumilivu zinakufikia. Unasema ngoja niwe mvumilivu kwanza.
Lakini bado hola!
Unafanyaje sasa? Kwani sasa hakuna suluhisho tena.
Ninachotaka ufahamu ni kuwa suluhisho lipo. Malengo yako na ndoto kubwa vinaweza kufikika ukiwa na mwongozo sahihi wa kufanya hivyo.
Mwongozo sahihi utakaokuonesha namna sahihi haswa ya kuweka malengo. Nimegundua japo wengi wanapambana sana kila siku Ila hawana malengo sahihi. Maelekezo ya kuweka malengo mengi siyo sahihi, ndio maana wengi wanakosea na ukishakosea hapo ujue utakosea na sehemu nyingine.
Lakini pia unahitaji kuanza kufanyia kazi malengo yako kwa kutumia hata rasilimali ulizonazo. Wengi wanadhani hawana rasilimali yoyote iliyowazunguka. Zipo. Tena unayo mitaji 8 unavyoweza kuanza nayo leo hii
Lakini pia unahitaji kuwa na timu ya watu sahihi. Kwani wewe hujawahi kusikia kuwa chuma kinanoa chuma? Au hujawahi kuambiwa kuwa kaa karibu na waridi unukie.
Kizungumkuti ni kuwapata hawa watu sahihi.
Unahitaji vitendo, vitendo, vitendo ili kufanikisha malengo na ndoto zako.
Lakini pia kuna gharama unapaswa kulipa ili ufanikishe malengo na ndoto zako.
Rafiki yaangu, kama nilivyosema. Bila mwongozo sahihi utagonga mwamba.
Leo hii ninataka nikupe mwongozo sahihi wa kufikia kila lengo na kila ndoto uliyonayo. Mwongozo huu nimeueleza kwa kina kwenye kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Leo hii nataka nikupe ofa ya kupata kitabu hiki rafiki yangu.
Njoo unipatie nakala yako leo kwa bei ya punguzo kwa shilingi elfu 10 tu. Utaongeza gharama kidogo za kutumiwa kitabu mpaka ulipo. Mimi rafiki yako nipo Morogoro.
Ukitaka softcopy ya kitabu hiki kwa bei ya punguzo leo. Utakipata kwa elfu 7 tu. Hili punguzo kwa ajili yako tu rafiki yangu na halidumu kwa muda mrefu.
Wahi Leo hii ujipatie nakala ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI Kwa bei ya punguzo.
Hardcopy ni 10,000/-
Softcopy ni 7,000/-
Kama bonus nitakupa ebook ya MITAJI 8 ILIYOKUZUNGUKA NA JINSI YA KUITUMIA bure. Ukinunua hardcopy au softcopy ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI bado ebook hii utapata tu.
Pia vitabu vyangu vingine nimeviwekea punguzo la asilimia 30 kwa leo.
Kwa hiyo kitabu kinachouzwa elfu tano utakipata kwa 3500/-
Chagua kitabu chochote HAPA, Kisha utume fedha kwa punguzo la asilimia 30 tu.
Wahi sasa tuma fedha kwa 0755848391 jina ni GODIUS RWEYONGEZA.
Fanya hivyo Sasa hivi.
nimimi rafiki yako
Godius Rweyongeza
One response to “Mwongozo Sahihi Wa Kufikia Malengo Na Ndoto Zako”
[…] Mwongozo Sahihi Wa Kufikia Malengo Na Ndoto Zako […]