Unaendeleaje rafiki yangu. Leo nina taarifa muhimu kwako ambayo unapaswa kuifahamu kama mwekezaji.
Kama umesoma kitabu cha MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE na umeanza uwekezaji, basi utakuwa unajua kuwa kila ukiwekeza fedha yako huwa unatumiwa Cheri.
Hata hivyo, utaratibu mpya unaenda kuanza tarehe 1 mwezi ujao (April) Ni kwamba utakuwa hutumiwi cheti cha hisa kama ilivyokuwa mwanzo. Badala yake utakuwa uwekezaji wako kiujumla.
Wewe unasemaje kuhusu hili?
Binafsi nimeipenda hili maana kila utakapokuwa ukiwekeza utakuwa unapata taarifa ya sehemu ulipofikia kwenye uwekezaji na hivyo kukupa Moto wa kujituma zaidi ili ukuze uwekezaji wako.
Taarifa kamili kwa kiswahili hii hapa
Taarifa kamili kwa kiingereza hii hapa
Anza kuwekeza Leo kwa kusoma ebook ya MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE. Rusha elfu tano tu kwa 0755848391 ili nikutumie ebook hii.