Miongoni mwa ukweli ambao unapaswa kuufahamu ni kwamba matendo ndiyo yanapaswa kutangulia matokeo na siyo matokeo yatangulie matendo.
Yaani, huwezi kuwa na afya njema kwanza, halafu eti ndio ukaja kuanza kula vizuri. Hapana
Unakula vizuri ndio maana una afya njema.
Unafanya mazoezi ndio maana una afya njema.
Unaweka akiba benki ndiyo maana una fedha ya kutosha.
Unawekeza ndio maana utajiri wako unazidi kukua
Kiufupi hakuna namna ambavyo unaweza kupata matokeo kabla ya kutanguliwa matendo.
Sasa hapa kazi ni kwako, kujua ni matokeo gani ambayo wewe unataka. Kisha sasa kuwa tayari kukwekazi ili kufikia hayo matokeo.
PODCAST YA LEO
MAKALA YA LEO
NB: Hivi jana nilikwambie kweli? Kama sikukwambia ni kwamba, kwa sasa hivi kuna ofa ya vitabu vitatu ambavyo unaweza kuipata kwa 12,000 tu. ni vitabu vitatu vya kipekee. na ninafikiri kwa mwaka huu, hii inaweza kuwa ofa yangu ya mwisho. ichangamkie rafiki yangu.
Tuma elfu kumi na mbili leo 12,000 na utumiwe ebooks tatu zenye thamani kubwa sana.
eBOOKS hizi ni pamoja na
NGUVU YA WAZO: Jinsi Wazo Linavyoweza Kubadili Dunia
KIPAJI NI DHAHABU: jinsi ya kugundua, Kunoa na kuendeleza Kipaji Chako
MITAJI 8 ILIYOKUZUNGUKA NA JINSI YA KUITUMIA.
Malipo yatatumwa kwa namba 0755848391 jina ni GODIUS RWEYONGEZA. Baada ya hapo usisahau kunitaarifu ili nikutumie ebooks hizi za kipekee.
One response to “Matendo yako, Ndio matendo yako”
[…] Soma Zaidi: Matendo yako, Ndio matendo yako […]