Hello upande wa huko, siku ya leo nina furaha kubwa sana. na ninapenda kukujulisha kuwa nakala za kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO toleo la pili, zinaenda kuanza kupatikana kuanzia tarehe 20 Mei 2022.
Kwa mara ya kwanza kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO nilikizundua mwaka 2020 mwishoni, na sasa mwaka huu 2022 toleo la pili linakuja.
Karibu sana rafiki yangu uweze kujipatia nakala ya kitabu cha jinsi ya kufikia ndoto zako toleo la pili.
Gharama ya kitabu itakuwa ni shilingi elfu 20. Ila kwa yeyote atakaweka oda ya kupata kitabu hiki, atakipata kwa elfu 15,000 tu.
Kwa wakazi wa Dar, Morogoro na Pwani mtafikishiwa nakala mpaka mlangoni kwako au ofisini kwako siku ya kuzinduliwa au siku moja baada ya kitabu kuwa sokoni.
Kwa ambao mko nje ya mikoa niliyotaja hapo juu, mtatumiwa nakala na zitawafikia bila shida yoyote.
Hapa kikubwa tuwasiliane rafiki yangu. Nimeanza kupokea oda na hapa unachoweza kufanya ni kujiandikisha kwa ajili ya kuja kupokea kitabu hiki cha kipekee
Jiandikishe kwa kutuma ujumbe kwenda namba 0755848391.
Au andika hapa chini. andika jina lako, mahali ulipo na namba yako ya simu. Kwa ambao wataweka oda ya kitabu watakipata kwa shilingi elfu kumi na tano (15,000) badala ya elfu ishirini (20,000/-)
Andika jina lako hapa chini (au nitumie ujumbe kwa 0755848391)
Sitaki ukose nakala hii ya kipekee sana. hivyo, jiweke kwenye orodha ya wale watakaopokea nakala hii ya kipekee kwa elfu 15,000/- tu badala ya 20,000/-
Andika jina lako hapa chini
1. Godius Rweyongeza 0755848391 (Morogoro Mjini-Morogoro)
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
11.