KITABU: JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO


JIPATIE nakala hii kwa kupiga simu kwenda 0755848391

Karibia kila mtu ana ndoto maishani mwake. Ukiongea na mtoto mdogo atakwambia ndoto yake kubwa bila ya uoga wowote. Ukiongea na mtu mzima atakwambia ndoto yake pia. 

Japo watu wenye ndoto ni wengi ila wachache sana ndiyo huwa  wanaweza kutimiza ndoto zao.  Sasa kwa nini watu huwa wanakuwa na ndoto kubwa katika kipindi fulani cha maisha na baadaye kuzisahau kabisa hizo ndoto zao. Ni kitu gani huwa kinawatofautisha watu wanaotimiza ndoto zao na wale  wanaoshindwa kuzitimiza? Je, wewe unawezaje kutimiza ndoto zako? Kwani kuna ulazima wowote wa wewe kutimiza ndoto zako?

Maswali hayo machache na mengine zaidi yameelezwa kwenye kurasa za kitabu kipya cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO. Hiki ni kitabu cha kipekee na kitabu ambacho kimeeleza kwa kina kuhusu ndoto yako. Katika kitabu hiki utakutana na 

1.  Nja zitakazokuwezesha wewe kuijua ndoto yako sahihi. Ujue katika maisha Kuna watu wanafanya vitu ambavyo siyo ndoto yao. Kwenye kitabu hiki nimeeleza kuwa ndoto inaweza kuwa ni ya kwako au ya kuazimwa. Sasa wengi wanaishi ndoto za kuazima. Pata nakala ya kitabu hiki uweze kugundua ndoto halisi unayopaswa kuwa unaifanyia kazi maishani.  

Nakukumbusha tu, ndoto inaweza kuwa ni ya kuazimwa au ya kwako. Sasa uchaguzi ni wako.

2. Kwenye kitabu hiki utakutana na  maswali muhimu unayopaswa kujiuliza na kujihoji kuhusu ndoto yako.

3. Nini? Ndoto zako? Kwa nini kitabu kina kichwa cha JINSI YA KUTIMIZA NDOTO ZAKO na siyo NDOTO YAKO. Najua wewe hauna ndoto moja tu. Unazo nyingi. Ndiyo maana kitabu hiki kipo ili kukusaidia wewe kutimiza hizo ndoto zote. Ya nini kuridhika na rangi moja wakati una uwezo wa kuwa na upinde mzima wa mvua?

4. Kitabu hiki kina dibaji ambayo imeandikwa na kocha Dr. Makirita Amani. Dibaji bora kabisa unayopaswa kusoma.

5. Kwenye kitabu hiki utakutana na gharama muhimu unazopaswa kulipia ili kufikia ndoto zako.

6. Kitabu hiki kimegawanyika kwenye sehemu kuu tatu.  sehemu ya kwanza imepewa kichwa cha UMUHIMU WA NDOTO NA CHANGAMOTO ZINAZOWAZUIA WATU KUFIKIA NDOTO ZAO.

sehemu ya pili ya kitabu hiki ndiyo pia imebeba kichwa cha kitabu hiki, inaitwa. JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO.Hapa nimeeleza kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kutimiza ndoto zako. 

Sehemu ya tatu. Imepewa kichwa HIVI NDIVYO NILIVYOTIMIZA NDOTO YANGU. Kwenye kipengele hiki kuna mifano kutoka kwa watu waliokuwa katika hali kama ambayo upo sasa hivi au wengine kwenye hali mbaya kabisa, ila wakaweza kuinuka mpaka wakatimiza ndoto zao. Kama hawa waliweza, wewe unaweza pia.

Kitabu hiki kipo tayari sasa na kinapatikana kwa nakala ngumu na laini. Na unaweza kupata nakala ngumu popote ulipo nchini. Gharama ya nakala ya kitabu hiki ni 20,000/- ila kama utachukua kitabu hiki leo hii, utakipata kwa bei ya punguzo. Yaani, elfu kumi na Saba tu. Kwa hiyo, umefika wakati wako wa kutimiza ndoto zako. Siyo kila mwaka unasema   nitafanya kitu fulani, ila miaka inaendelea kusogea na wewe hufanyi chochote.

Au siyo unaendelea kuwa na mipango ileile miaka nenda, miaka rudi. Karibu ujipatie nakala ya kitabu hiki ili ubadilishe maisha yako na kutimiza ndoto zako. 

Kumbuka kwa leo hii, utapata kitabu hiki kwa 17,000/- tu. Tuwasiliane sasa kwa 0755848391 ili uweze kupata nakala ya kitabu hiki.

Karibu sana

Ni Mimi 

Godius Rweyongeza

0755848391


4 responses to “KITABU: JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X