Hivi Ndivyo Elfu moja inaweza kukusaidia kuhudhuria semina ya uwekezaji kwenye hisa


Unaendeleaje rafiki yangu wa ukweli. Mimi kwa upande mwingine huku naendelea vizuri kabisa.

Wiki ilyopita nilitangaza juu ya uwepo wa semina ya uwekezaji kwenye hisa.

Semina hii ya kipekee itaendeshwa kwa njia ya mtandao wa whatsap kupitia kundi maalumu la semina.

  • Itadumu kwa siku 10 na kila siku itakuwa ni siku ya mafunzo kwako.
  • Baada ya semina utapata kitabu (hardcopy) cha JINSI YA KUWEKA AKIBA NA KUANZA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE. Hii ni nakala ambayo kila atakayehudhuria semina hii ataipata, mwishoni kabisa mwa semina
  • Jina lako litaandikwa kwenye kitabu utakachopokea. Ningependa kuandika jina lako kwenye hiki kitabu kinapotoka, na jina lako litaendelea kuwa kwenye hiki kitabu vizazi hadi vizazi.

Njoo rafiki yangu uhudhurie semina hii ya kipekee, ujifunze mbinu za kuwekeza kwa faida.

Gharama ya semina hii ni 21,000/- tu. Na kitabu cha JINSI YA KUWEKA AKIBA na kuanza kuwekeza utakipata bila gharama ya ziada. Utakipata kwa gharama hiyohiyo ya 21,000/-

Kuna njia mbili za kulipia semina hii.

Moja ni kulipia moja kwa moja fedha yote kwa mkupuo. Unalipa kwa namba ya 0684408755 jina ni GODIUS RWEYONGEZA.

Au unalipa kidogokidogo.kwa kiwango utakachojiwekea wewe.

Kiwango cha chini kabisa unaweza kuanza kulipa elfu moja kila siku kuanzia leo hii. Ambapo baada ya siku 20 utakuwa umekamilisha malipo. Karibu sana. Hakikisha kwamba kwa vyovote vile unahudhuria semina hii ya kipekee rafiki yangu. mwambie na rafiki yako.

Ni mimi Godius Rweyongeza (Songambele)

0755848391

Morogoro-Tz


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X