Karibu kwenye semina ya uwekezaji kwenye Hisa


Habari ya leo rafiki yangu. bila shaka unaendelea vyema kabisa. karibu kwenye semina ya uwekezaji kwenye hisa. Hii ni semina ya kipekee sana ambayo itaendeshwa kwa njia ya mtandao kuanzia tarehe 1 Agosti 2022. Katika semina hii ya kipekee unaenda kujifunza kila kitu unachohitaji kujua kuhusu uwekezaji wa hisa.

Semina hii ya kipekee itadumu kwa siku 10 mfululizo na itaendeshwa kwa njia ya mtandao. Kwa siku hizi 10 utapata mafunzo ambayo yatatolewa kwa njia ya maandishi, sauti na video.

Kwenye semina hii unaenda kujifunza kila kitu unachohitaji kujua kuhusu uwekezaji wa hisa na kikubwa zaidi ni kwamba utapata nakala moja (hardcopy) ya kitabu cha MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE

Gharama za semina hii ni 21,000 tu. Namba ya malipo ya semina ni 0684408755

Jiwekee nafasi yako kwa kulipia leo.

Ni Mimi
Godius Rweyongeza
0755848391
Morogoro-Tz


3 responses to “Karibu kwenye semina ya uwekezaji kwenye Hisa”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X