Unaendelea rafiki yangu. Bila shaka kila kitu kipo Safi kwa upande wako.
Mimi huku naendelea vyema.
Nilikuwa najiuliza, Hivi umeshajiunga na semina ya uwekezaji kwenye HISA ambayo itaendeshwa kwa njia ya mtandao kuanzia tarehe 1.8.2022?
Kama ulikuwa hujui Ni kwamba kwenye semina hii ya kipekee, unaenda kujifunza mengi kuhusu uwekezaji kwenye HISA
Baada semina hii utaanza moja kwa moja kuwekeza.
Semina hii ya kimtandao, itadumu kwa siku 10. Na baada ya semina unaenda kupata kitabu (hardcocopy) bila gharama ya ziada.
Gharama ya semina hii Ni 21,000/- tu.
Ambapo
Utapata mafunzo ya semina kwa siku 10. Mafunzo yatatolewa kwa mfumo wa Makala, sauti na video
Utapata kitabu (Hardcopy) Cha JINSI YA KUWEKA AKIBA NA KUANZA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE.
Jina lako litaandikwa kwenye kitabu pia. Kila mshiriki wa semina jina lake litaandikwa kwenye hiki kitabu hiki.
….nisingependa usikose semina hii ya kipekee. Ebu thibitisha ushiriki wako kwa kulipia leo hii.
Malipo yote yanafanyika kupitia Namba ya simu (Airtel money) 0684408755 jina ni GODIUS RWEYONGEZA
Ukishalipia wewe unabaki kusubiri mafunzo haya ya kipekee sana.