Njia ya uhakika ya kukutana na mtu yeyote


Njia ya uhakika ya kukutana na mtu yeyote
Njia ya uhakika ya kukutana na mtu yeyote

Rafiki yangu, siku ya leo ningependa kukwambia njia ya uhakika ya kukutana na mtu yeyote yule. Na njia hii ni kuhakikisha kwammba unakuwa mteja wake au mteja wa biashara yake.

Watu huwa wanapenda kukutana wateja wao, kukaa nao meza moja na kuongea nao hivyo ukiwa mteja kwenye biasahra ya mtu ambaye ungependa kukutana naye, ni wazi kuwa unakuwa unajijengea uhakika ya kuja kukutana naye ana kwa ana siku moja.

Rahisi kama hivyo tu.

Ebu leo hii naomba nikuulize kitu kimoja. Ni watu gani ambao ungepend akukutana nao kwenye maisha yako? Angalia namna ambavyo unaweza kuwa mteja wake ili uweze kukutana naye bila shaka lolote. Kila la kheri.

Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza.

Baadhi ya makala za Godius Rweyongeza zimechapwa kwenye magazeti makubwa nchini Tanzania likiwemo gazeti la MWANANCHI.

Kupata vitabu vya Godius Rweyongeza unaweza kwa kuwasiliana na 0755848391/ +255755848391 kwa simu au whatsap.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X