Vitu viwili Vitakavyokufanya uweze kupata matokeo makubwa Kwa uhakika


Vitu viwili Vitakavyokufanya uweze kupata matokeo makubwa Kwa uhakika

Rafiki yangu, Kuna vitu viwili vya uhakika vitakavyokupa matokeo makubwa mara zote. Vitu hivi ni kuhakikisha

1. unaFIKIRI Kwa ukubwa mara zote. Kamwe kwenye maisha Yako usiwe na malengo madogo, usiwe na ndoto ndogondogo. Mara zote fikiri Kwa ukubwa, angalia ni Kwa namna gani unaweza kwenda zaidi ya hapo ulipo.

SOMA ZAIDI: Unawezaje Kujiajiri kwa Mtaji Kidogo?

3. Maarifa sahihi. Maarifa sahihi ni kiungo kingine Muhimu sana. Hakikisha kuwa Kila siku unasoma kitabu.

Kila siku jifunze na kamwe usikome kujifunza.

Soma zaidi: Mwongozo Sahihi Wa Kufikia Malengo Na Ndoto Zako

Muhimu zaidi, yake unayojifunza, hakikisha kuwa unayafanyia kazi Kila siku. Na hakikisha pia umepata kitabu cha NGUVU YA KUFIKIRI KWA UKUBWA.

Asante sana

Uwe na wakati mwema. Kupata nakala na vitabu vya GODIUS RWEYONGEZA wasiliana na 0684408755

Kupata huduma nyingine za Godius Rweyongeza 0678848396


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X