Kama una Simu Janja na huingizi Kipato, Unakosea hapa. Rekebisha Mara moja


Siku Moja Robert Kiyosaki alisema kwamba kama una simu janja na Bado wewe ni maskini, basi fahamu wazi kuwa Kuna sehemu unakosea.

Ukitafakari maneno ya Robert Kiyosaki unagudua Kuna ukweli mkubwa sana hasa katika ulimwengu wa Leo ambapo unaweza kufanya makubwa Kwa dhana ambazo zinetuzunguka.

Kwa mfano ukiangalia

🌐 ChatGPT inapatikana bure

🔍 Google ni Bure pia

▶️ YouTube ipo bure

🎨 Canva unaweza kuipata burr

🎙 Unaweza kusikiliza au kufanya Podcasts bure

📚 Mtandaoni Kuna kozi kibao ambazo Nazo zinapatokana bure. 

 

Kitu pekee unachohitaji ni intaneti Ili uweze kuvitumia hivi vitu Kwa manufaa, na Cha kushangaza zaidi ni kwamba tayari intaneti unayo, kama umeweza KUSOMA ujumbe huu maana yake intaneti unayo. 

 

Kitu pekee unachohitaji ni nidhamu ya kuamua na kuanza kufanya mara Moja

 

Sijui umenielewa hapo.

 

Acha visibgizio kuanzia Leo hii na Anza kuzalisha matokeo.

Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza 

Jifunze zaidi Kutoka Kwa GODIUS RWEYONGEZA Kwa kujiunga naye hapa

Najua kuwa ungependa kupata ushauri wa karibu zaidi moja moja kwa moja kutoka kwangu. Nitafute tuone ni lini nitakuwa na muda, ili nikupangie ratiba ya kuongea na wewe. Utalipia kiasi kidogo tu.

Saa moja ni laki moja mazungumzo kwa njia ya mtandao.

SAA MOJA NI LAKI MBILI NA NUSU MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA. Malipo yanafanyika kwanza, kisha unapewa tarehe (appointment) tutakapoweza kuongea

Tumia namba ya simu +255 755 848 391 kuwasiliana nami.

Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza ambaye anaishi Morogoro nchini Tanzania.

Unaweza kujifunza zaidi kutoka kwa Godius Rweyongeza kupitia youtube channel yake hapa

Kwa ushauri niandikie songambele.smb@gmail.com

Kupata vitabu ambavyo ameandika Godius Rweyongeza, wasiliana naye kwa +255 684 408 755 na orodha ya vitabu vyenyewe unaweza kuiona HAPA. Chagua unachopenda, kisha twanga,  +255 684 408 755

Kujiunga na programu yetu ya uandishi. Wasiliana na +255 678 848 396

For Consultation only: +255 755 848 391  au godiusrweyongeza1@gmail.com


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X