Kipaji chako umekiweka wapi? Umeajiriwa, umejiajiri au huna ajira?


KIPAJI NI DHAHABU
Rafiki yangu, nimeandika kitabu. Kinaitwa KIPAJI NI DHAHABU. Ili kupata kitabu hiki, wasialiana na mi kwa 0755848391 sasa

Dhahabu ni madini yenye thamani sana hapa duniani. Siku ya leo tarehe 29/3/2024 wakati naandika hapa, imabidi niangalie mtandaoni ili kuona bei halisi ya dhahabu sasa hivi kwenye soko la dunia. Ninachoona hapa ni kwmaba bei ya dhahabu kwenye soko la dunia siku ya leo ni kati ya dola 70,000 na dola 75,000 kwa kilo moja

Hii ni thamani ya hiki kitu kinachoitwa DHAHABU.

 

Dhahabu, kabla haijawa na thamani kubwa hivyo, huwa inapitia kwenye hatua mbalimbali, mojawapo ya hatua hiyo huwa ni KUICHOMA KWA MOTO WA KIWANGO CHA JUU SANA. Moto huu unaiunguza, ndipo baadaye tunakuja kupata dhahabu.

Ila leo hiii sipo hapa kuongelea kuhusiana na biashar dhahabu, badala yake nipo hapa kuonge ana wewe kuhusiana na KIPAJI chako.

Nimekuwa nikiongea na watu na kuwasisitiza kwambna kipaji chao ni DHAHABU.

Naam, kipaji chako wewe….

Ni dhahabu. Ni kwamba kipaji hiki hakitageuka kuwa dhahabu kwa sababu umesoma hapa. Au kwa sababu umesiki amtu akisema hivyo. Ni mpaka uwe tayari kukifanyia kazi. Na wakati  mwingine kwa kutokwa na jasho, damu na machozi ndipo uje kufikia wakati wa kuvuna mavuno mazuri.

Kumbuka kipaji chako ni dhahabu, ila dhahabu hii isipofanyiwa kazi haitakuja kuleta matokeo.

Hakikisha umepata nakala ya kitabu hiki hapa, cha KIPAJI NI DHAHABU, utajifunz amengi kutoka kwenye hikitabu kuhusiana na kipaji chako na jinsi unavyowez akukinoa kwa manufaa yako ya sasa na ya baadaye.

Imeandikwa na Godius Rweyongeza

SOMA ZAIDI: KIPAJI NI DHAHABU: Jinsi Ya Kukigundua, Kukinoa Na Kukitumia Kipaji Chako Kwa Manufaa

Kitabu Cha KIPAJI NI DHAHABU

 


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X