Kitu Kinachofanya Mabadiliko Kuwa Magumu Kwenye Biashara Yako


Rafiki yangu salaam, Hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana.

Siku ya leo ningependa kukwambia kitu kinachofanya mabadiliko kuwa magumu kwenye biashara yako. Kitu hiki siyo kingine bali ni kutaka wengine wabadilike huku wewe ukiwa hubadiliki.

Mfano, unataka watu wawahi kufika kazini lakini wewe unachelewa. Unataka watu wafanyie kazi mabadiliko fulani lakini wewe unafanya kinyume na yale mabadiliko.

Ukweli ni kuwa kama kuna mabadiliko ambayo unataka kuyaona kwenye biashar ayako, basi wewe unapaswa kuwa nambari moja kwenye kuyafanyia kazi ili yaweze kuja kwenye uhalisia.

Ni hivyo tu.

Najua kuwa ungependa kupata ushauri wa karibu zaidi moja moja kwa moja kutoka kwangu. Nitafute tuone ni lini nitakuwa na muda, ili nikupangia ratiba ya kuongea na wewe. Utalipia.

Saa moja ni laki moja mazungumzo kwa njia ya mtandao.

SAA MOJA NI LAKI MBILI NA NUSU MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA. Malipo yanafanyika kwanza, kisha unapewa tarehe (appointment) tutakapoweza kuongea

Tumia namba ya simu +255 755 848 391 kuwasiliana nami.

Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza ambaye anaishi Morogoro nchini Tanzania.

Unaweza kujifunza zaidi kutoka kwa Godius Rweyongeza kupitia youtube channel yake hapa

Kwa ushauri niandikie songambele.smb@gmail.com

Kupata vitabu ambavyo ameandika Godius Rweyongeza, wasiliana naye kwa +255 684 408 755 na orodha ya vitabu vyenyewe unaweza kuiona HAPA. Chagua unachopenda, kisha twanga,  +255 684 408 755

Kujiunga na programu yetu ya uandishi. Wasiliana na +255 678 848 396

For Consultation only: +255 755 848 391  au godiusrweyongeza1@gmail.com


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X