1. SHERIA ya kwanza wazazi wape Hela ya kula
2. SHERIA ya pili, usikopeshe Hela kama biashara Yako siyo kukopesha
3. SHERIA ya tatu, wasaidie wazazi kuhakikisha wanakuwa na VYANZO vitakavyowaingizia KIPATO Ili wasikutegemee.
4. SHERIA ya nne, ukimkopeshe mtu yeyote, mkopeshe Ile Hela ambayo wewe mwenyewe huihitaji.
5. SHERIA ya Tano, kamwe watu wasijue lini Huwa unaingiza Fedha. Usihemke Kwa kupata PESA. Mara zote ishi maisha yaleyale ukiwa na Hela na ukiwa huna Hela
Hizi ndizo SHERIA Tano
SOMA ZAIDI:
- Kutana na mtu mwenye kumbukumbu kali kuliko wote
- Kwa nini watoto wanapoteza pesa ya wazazi baada ya kurithi?
- Sababu 5 Kwa Nini Haupaswi Kuomba Fedha Kwa Wazazi: Jifunze Kujitegemea na Kuwekeza Kwa Mafanikio
Jifunze zaidi: www.songambele.co.tz
By, Godius Rweyongeza