Nguvu ya mtandao wa INTANETI, na siri muhimu ambazo bado hujazifahamu


Mtandao wa intaneti ni sehemu muhimu sana ya ambapo watu wengi wanatembelea. Kila siku kuna watu wanatembelea huu mtandao kwa ajili ya masuala mbalimbali, na hasa kikubwa ikiwa ni kujipatia maarifa. Watu wanaingia kwenye hii mtandao ya kijamii wakiwa na maswali na sehemu ya haya maswali majibu yake unayo wewe.

Mfano mtu anaingia mtandao akiwa na swali la namna gani anaweza kufuga kuku kwa mafanikio makubwa.

Mwingine anaingia mtandao akiwa anajiuliza ni kwa namna gani anaweza kuongeza idadi ya wateja kwenye biashara yake.

Mwingine anaingia mtandaoni akiwa anajiuliza ni kwa namna gani anaweza kuwa msusi bora kuwahi kutokea

Na maswali mengine mengi sana.

Sehemu ya haya maswali majibu yake tayari unayo.

Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha  kwamba, unaweka majibu ya haya maswali mengi.

Na unaweza kutoa haya majibu kupitia mtandao.

Hili linawezekana vizuri sana kupiia.

  1. wewe kuwa na blogu kama hii ambayo unaweza kuwa unawashirikisha watu taarifa na maarifa mbalimbali.
  2. Kuhakikisha kwamba unakuwa na kurasa kwenye mitandao ya kijamii na unaisimamia vyema.
  3. Kuhakikisha kwamba unakuwa na mfumo wa kupokea mawasilino ya watu. Email list na kunawatumia watu jumbe huko

Hizo ni njia ambazo unaweza kuanza nazo sasa hivi.

Je, ni njia ipi ambayo unaenda kuanza kutumia sasa hivi ili ikuweke kwenye mtandao?

Najua kuwa ungependa kupata ushauri wa karibu zaidi moja moja kwa moja kutoka kwangu.

Nitafute tuone ni lini nitakuwa na muda, ili nikupangie ratiba ya kuongea na wewe. Utalipia kiasi kidogo tu.

Saa moja ni laki moja mazungumzo kwa njia ya mtandao.

SAA MOJA NI LAKI MBILI NA NUSU MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA. Malipo yanafanyika kwanza, kisha unapewa tarehe (appointment) tutakapoweza kuongea.

Tumia namba ya simu +255 755 848 391 kuwasiliana nami.

Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza ambaye anaishi Morogoro nchini Tanzania.

Unaweza kujifunza zaidi kutoka kwa Godius Rweyongeza kupitia youtube channel yake hapa

Kwa ushauri niandikie songambele.smb@gmail.com

Kupata vitabu ambavyo ameandika Godius Rweyongeza, wasiliana naye kwa +255 684 408 755 na orodha ya vitabu vyenyewe unaweza kuiona HAPA. Chagua unachopenda, kisha twanga,  +255 684 408 755

Kujiunga na programu yetu ya uandishi. Wasiliana na +255 678 848 396

For Consultation only: +255 755 848 391  au godiusrweyongeza1@gmail.com


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X