Month: August 2024

  • Penye Changamoto Pana Fursa.

    Ndiyo maana tunapaswa kupambana. Maisha muda mwingine yanabadilila kwa sababu Kuna changamoto, Bila ya hizi changamoto mambo MAKUBWA tunayoona Leo tusingekuwa tunayaona. Leo ngoja nikupe Mifano ya vitu vilivyogunduliwa baada ya kuwepo kwa changamoto 1. Penicillin: Alexander Fleming aligundua penicillin, dawa ya kwanza ya antibiotic, baada ya kukutana na changamoto ya kutafuta njia ya kuzuia…

  • Maisha ni wajibu wako, ukishinda ni juu yako, ukishindwa ni juu yako pia

    Usije ukafanya kosa la kutaka kuwaachia wengine jukumu la maisha yako. Hakuna mtu anayeweza kujali kuhusu maisha yako kama wewe mwenyewe. Wewe ndiye mtu wa kwanza unayepaswa kujali kuhusu maisha yako kabla ya mtu mwingine yeyote.Na unapaswa kulifanyia kazi kwa uhakika bila ya kurudi nyuma wala kukubali kukwamishwa na mtu au kitu chochote.Kuwa na ndoto…

  • Kwa Nini KUWEKA akiba ni Muhimu Hata Kama Hujui Lini Utakufa

    Vipi usipokufa na huna akiba na ukaishi mpaka miaka 80 au 90? Ni kweli kwamba kifo ni jambo lisilotarajiwa, lakini pia ni kweli kwamba unaweza kuishi maisha marefu. Bila akiba, maisha hayo marefu yanaweza kuwa magumu na yenye changamoto nyingi za kifedha. Hapa kuna sababu za kwa nini kuweka akiba ni muhimu hata kama hatujui…

  • MAMBO MUHIMU KUHUSU KUWEKA AKIBA

    Kwenye somo la leo ninakueleza kwa undani mambo ya msingi na ya muhimu sana ambayo unahitaji kuzingatia linapokuja suala zima la kuweka akiba. Kuna makosa ambayo umekuwa unayafanya, lakini habari njema ni kwamba haya makosa unaweza kuyaepuka. Haya yote yameelzwa kwa kina kwenye somo la leo. Hakikisha umelfuatilia somo hilimpaka mwisho. Kujipatia nakala za vitabu…

  • Kitu Aambacho Kimekuwa Kikikwamisha Watu Wengi. Kinakukwamisha Na WEWE pia?

    Kama kuna mtu ambaye unaona kwamba ameweza kufikia mafanikio makubwa, basi ujue kwamba kuna gharama ambazo ameliipa na wewe hujalipa hizo gharama, unapaswa kuwa tayari  kulipa gharama ambazo mtu huyu amelipa ili uweze kufikia kwenye ngazi ambazo yeye amefikia. Kama unataka kujenga biashara kubwa ambayo itakufikisha kwenye ngazi ya ubilionea unapaswa kuwa tayari kulipa gharama…

  • Shhh! Sikiliza Vizuri; pesa ya akiba siyo pesa ya kula

    Ukikosa pesa ya kula, pambana kadiri unavyoweza kuhakikisha kwamba unaipata sehemu nyingine ila siyo kwenye akiba Yako Akiba iwekwe kwa lengo maalum. Ni muhimu zaidi kama akiba itawekwa sehemu ambayo huwezi kufikia kwa haraka. Hii itakusaidia kutokuwa unaifikiria mara kwa mara, kitu kitakachokupelekea wewe kuitoa. Kama Bado hujajipatia nakala ya kitabu Cha MAAJABU YA KUWEKA…

  • Kuandika kunahitaji Nidhamu. Unakuwa na vitu Gani vingi vinavyokufanya usiandike?

    Unakuwa na vitu Gani vingi vinavyokunya ukose hata dakika 15 za Kuandika kila siku? Kuandika kunahitaji nidhamu. Kama ambavyo kusoma darasani kunahitaji nidhamu ili ufaulu, Kuandika pia kunahitaji nidhamu. Nidhamu ya Kuandika. Ukiona mtu ameandika na kitabu chake kimekamilika, ujue Moja ya gharama aliyoilipa ni nidhamu ya kukaa chini na Kuandika.Kuandika hata pale alipokuwa hajisikii…

  • Vitu Vinavyofanya Wengi Washindwe Kufikia Malengo Na Ndoto Zao

    Kwanza ni kuiga watu wengine. Mwandishi wa vitabu John Mason, anasema kwamba imitation is limitatiom, akimaanisha kwamba kuiga ni kikwazo kikubwa sana ambacho kinawazuia watu wengi kuweza kufanyia kazi malengo na ndoto zao na hata kuweza kuzifikia. Ukweli ni kuwa, kama una malengo na ndoto kubwa, kamwe usiige wengine wanafanyaje. Badala yake amua kufanya vitu…

X