
Rafiki Yangu, kwa kazi au suala lolote ambalo unafanya. Jitoe kwa asilimia 100 kwenye kufanya hiyo kazi. Usijibakize nyuma na wala usikubali kitu chochote kile kikukwamishe. Weka nguvu zako, muda wako na akili zako kwenye hicho kitu.
Ngoja nikwambie kitu.
Ebu siku moja jaribu kufanya kitu kimoja na mawazo yaliyogawanyika.
Mfano huku unaandika kama hapa, na wakati huohuo unajibu jumbe. Ni ukweli usiopingika kuwa itakuchukua muda kuandika na kukamilisha andiko lako kuliko pale ambapo ungekuwa umeweka nguvu zako na muda wako wote kwenye jambo moja kwa kwati huo.
Hivyo basi rafiki yangu, chagua kufanya kitu kimoja kwa nguvu zako zote, kwa akili zako zote na bila kupepesa macho. Wekeza kila kitu sehemu moja.
SOMA ZAIDI: Jinsi Kufanya Kazi Kwa Bidii Kunavyoweza Kukukutanisha Na Wafalme
Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza
Jipatie vitabu vya Godius Rweyongeza kwa kuchagua HAPA.
Hakikisha umepata kitabu cha RASILIMALI ZA WATU WENGINE, ni kitabu kizuri kwa ajili yako. wasiliana na 0755848391 au 0745848395 sasa
Makala ya kesho itawekwa kwenye blogu ya SONGAMBELE ambayo unaweza kuifikia kupitia www.songambele.co.tz na itawekwa kwenye channel ya telegram pia ambayo unaweza kuifikia kwa KUBONYEZA HAPA