Category: HUDUMA ZA SONGA MBELE

  • Hiki kitu ndicho kitakusaidia wewe kukaa kwenye gemu la mafanikio kwa muda mrefu mpaka ukashinda

    Kila mtu anapenda  kufanikiwa. Yaani, hapa ufahamu kabisa kuwa ni kila mtu  anapenda. Hakuna mtu anapenda kushindwa. Ukiingia kwenye chumba chochote ambacho kina watu, ukiuliza wangapi wanapenda kufanikiwa. Wote watanyosha mikono juu na tena wengine watanyosha mikono miwili juu. Sasa swali letu ni kwa nini watu wengi huishia kufeli wakati wanapenda kufanikiwa. Najua hapa unaweza…

  • KITABU: MAAJABU YA KUSOMA VITABU

    Kupata kitabu hiki hapa BONYEZA HAPA   Mwezi wa tisa mwaka 2019 nilitoa kitabu MAAJABU YA VITABU bure kwa watu wote ili waweze kusoma na kujifunza maajabu yaliyofichwa kwenye kusoma vitabu. Mwanzoni sikutegemea kama kitabu hiki kingesomwa na watu wengi sana. Ila kilichotokea toleo la kwanza la kitabu hiki hapa lilisomwa na maelfu kwa maelfu ya…

  • Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani

    Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani Habari ya siku hii ya kipekee sana rafiki yangu. Hongera sana kwa sikku hii ya kipekee. Leo hii nina habari njema sana kwako wewe mkazi wa Iringa na mikoa mingine ambayo imezunguka hapo karibu. habari hii ni kwamba vitabu vya KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI…

  • Dibaji ya kutoka sifuri mpaka kileleni Kama Ilivyoandikwa Na Albert Nyaluke Sanga

      Habari ya siku ya leo rafiki yangu. Siku ya leo nimeona nikusogee walau kurasa chache kutoka kwenye kitabu cha kutoka sifuri mpaka kileleni ili uweze kuzisoma. Na kwa leo nimekuletea kwako Dibaji ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI  ambayo imeandikwa na Albert Nyaluke Sanga. Kama hujawahi kusoma kitu chochote kile kwenye kitabu hiki,…

  • Maeneo Matatu (03) Ya Kutembelea Unapokuwa Mtandaoni

    Usikose kutembelea maeneo haya matatu kila unapoingia mtandaoni kila siku. Ujue watu huwa wanaingia mtandaoni kwa kusukumwa na vitu mbalimbali. ila kwa jinsi ambavyo ninakufahamu wewe moja ya kitu ambacho kinakukfanya uingie mtandaoni ni kujifunza. si ndio? Kama ndio hivyo, basi hapa nina kuletea maeneo mawili muhimu ambayo hupaswi kukosa kutembelea kila siku unapoingia mtandaoni.…

  • KITABU NYUMA YA USHINDI;

    habar, kitabu cha nyuma ya ushindi, kimezinduliwa rasimi tangu juzi, na mpaka sasa hivi  unaweza kukipata popote pale ulipo duniani. hapa nimekuwekea utangulizi wa kitabu cha NYUMA YA USHINDI Mara nyingi sana inapozungumziwa historia ya watu waliofanikiwa kiuchumi, kimahusiano, kisiasa, kijamii n.k basi huwa inaoenekana ni ya kusisimua sana. Maana historia hii huwa inazungumziwa katika…

  • Hizi Ni Huduma Ambazo Unaweza Kuzipata Kutoka Kwangu

    Habari ya siku hii ya leo rafiki yangu, imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unafanya makubwa sana kuhakikisha kwamba unafikia makubwa sana maishani mwako. Leo hii rafiki yangu napenda uzijue kwa undani huduma ambazo unaweza kuzipata hapa kwangu. Kuna huduma mbali mbali ambazo unaweza kuzipata kutoka…

X