KITABU: MAAJABU YA KUSOMA VITABU


Kupata kitabu hiki hapa BONYEZA HAPA  

Mwezi wa tisa mwaka 2019 nilitoa kitabu MAAJABU YA VITABU bure kwa watu wote ili waweze kusoma na kujifunza maajabu yaliyofichwa kwenye kusoma vitabu.

Mwanzoni sikutegemea kama kitabu hiki kingesomwa na watu wengi sana. Ila kilichotokea toleo la kwanza la kitabu hiki hapa lilisomwa na maelfu kwa maelfu ya watu. asilimia kubwa ya wasomaji wa toleo la kwanza wakawa wananitafuta na kueleza jinsi kitabu hiki kilivyobadili fikra zao kuhusu usomaji.

Kwa hiyo, nikakuta kitabu hik kimeniunganisha na wahariri, wasomi, wakulima. Kitabu hiki kikaniunganisha mimi na watu wa nje ya nchi na wale wa ndani. Wengi wao tumejenga urafiki baada ya kuwa wamesoma hiki kitabu mpaka leo hii. Wapo waliosoma kitabu hki hapa wakasema kwamba mimi lazima nisome na vitabu vyako vingine. na kweli wakawa wamechukua hivyo vitabu a kuvisoma pia.

Kila aliyesoma kitabu hiki alimtumia na mwenzake ili asome. Kitabu hiki kikawa kimezunguka kila kona ya nchi hii na dunia nzima kiujumla kwa wasomaji wa lugha ya Kiswahili.

Hata hivyo kadiri muda ulivyokuwa unaenda nikaendelea kuboreshakitabu hiki hapa. na hivyo, leo hii napenda kukwambia kwamba lile toleo la kwanza la kitabu hiki hapa HALIPO TENA. Sasa tuna toleo la pili ambalo limeboreshwa mara 30 zaidi ya lile toleo la kwanza. Kama ulisoma toleo la kwanza ukasema, looo, hiki ni kitabu cha kipekee kweli.

Sasa ukisoma toleo hili, hizo looo, zitakuwa mara 10 zaidi. hahah.

Mabadiliko ambayo yamefanyika, yameanzia kwenye kichwa cha KITABU. Mwanzoni nilikiita kitabu MAAJABU YA VITABU. ila kwenye toleo hili la pili, kitabu hiki kinaitwa MAAJABU YA KUSOMA VITABU

Karibu ujipatie nakala sasa kwa kubonyeza HAPA

https://www.getvalue.co/home/product_details/maajabu_ya_kusoma_vitabu

Gharama ya kitabu hiki (toleo la pili) itakuwa ni shilingi elfu tano (5,000/-) tu.

Nakautakia usomaji mwema. 

Utakapokuwa umemaliza kusoma kitabu hiki, usisahau kutoa maoni yako hapa. unaweza pia kunitumia ujumbe kwa whatsap kupitia namba 0755848391. Au unaweza kunitumia barua pepe kupitia songmbele.smb@gmail.com

Ungana nami kwenye mitandaoya kijamii:

YOUTUBE: BONYEZA HAPA

 

FACEBOOK: BONYEZA HAPA

 

INSTAGRAM: BONYEZA HAPA

 

TWITTER: BONYEZA HAPA

, ,

One response to “KITABU: MAAJABU YA KUSOMA VITABU”

  1. Kaka Godius hongera sana kwa maarifa haya adimu nimefurahia hii kazi unayo fanya, samahani nauliza una ma group ya WhatsApp uni add ahsante sana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X