Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani
Habari ya siku hii ya kipekee sana rafiki yangu. Hongera sana kwa sikku hii ya kipekee.
Leo hii nina habari njema sana kwako wewe mkazi wa Iringa na mikoa mingine ambayo imezunguka hapo karibu. habari hii ni kwamba vitabu vya KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI sasa vimeweza kufika mkoani Iringa na unaweza kuvipata kwa beni ile ile ya elfu kumi tu (10,000/-).
Vitabu hivi kwa sasa hivi vipo kwenye duka la vitabu la CITY MAX hapo hapo Iringa mjini
JINSI YA KUPATA KITABU HIKI HAPA KAMA WEWE NI MKAZI WA IRINGA
Rafiki yangu kama wewe ni mkazi wa Iringa unachopaswa kufanya ni kuwasiliana na mhusik wa CITY MAX kwa namba hizi hapa 0672 134512 . baada ya hapo utamweleza kuwa unahitaji kitabu hiki hapa.
Kisha baada ya hapo utapewa utaratibu wa kupata kitabu hiki popote pale utakapokuwa mkoani hapo au nje ya mkoa.
Rafiki yangu, hiyo ndio habari yangu njema ambayo inauyo kwako siku ya leo. Bila shaka wewe mkazi wa iringa sasa umepata nafuu ya kupata kitabu hiki hapa na utaweza kuagiza kitabu chako bila kuchelewa kutoka hapo CITY MAX
kwa wakazi wa miko mingine nipende tu kuwakumbusha kuwa tuna mawakala pia kwenye mikoa mingine, kama
ARUSHA, ELIA JACOB 0766 051 624 (hapa ni pamoja na wakazi wa Kilimanjaro na Manyara)
Kwa mikoa ambayo haina mawakala, mimi mwenyewe nakutumia kitabu hiki na kinakufikia. Karibu sana
UNAWEZA KUSOMA ZAIDI: Hawa Ndio Mawakala Wa Kitabu Cha Kutoka Sifuri MpakaKileleni
Mimi nakutakia siku njema kabisa
Naitawa, GODIUS RWEYONGEZA
MOROGORO-Tz