Hiki Ni Kipimo Tosha Kwamba Sasa Umekomaa Kwenye Fedha


Kama unaweza kutembea na fedha, ukakutana na vitu vya kununua ila ukaacha kuvinunua japo una fedha, basi hapo ujue umeanza kukomaa. Kama hauna uwezo huu basi anza kuujenga. Tembea na kiasi fulani cha fedha, watu wakija kwako na vitu vya kukuuzia, wewe usinunue.

Kila utakapopata kishawishi hiki, kishinde kwa kutoitumia hiyo fedha. Fanya hivyo kwa wiki, wiki mbili na hata mwezi. Hapo sasa ndipo utakuwa umeanza kukomaa kifedha.

Nakutakia kila la kheri

, ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X