Category: PESA

 • USHAURI: Kwa Nini Maskini Wanapendelea Kuwa Maskini

  Habari yangu ni njema sana. Kuna uhusiano mkubwa sana Tena sana Kati ya kuzaliwa kwenye familia masikini na kuendelea kuwa maskini maisha yako yote. Kwanza unapozaliwa kwenye familia masikini unachoona ni umaskini. Nahata stori zinazopigwa ni kimasikini. Wakiongelea matajiri wanaongelewa kama watu wabaya, watu ambao hawana huruma, watu ambao wanawaonea wengine. Watu ambao wameupata utajiri…

 • Bilionea Ni Mtu Wa Aina Gani?

  Bilionea ni mtu anayemiliki rasilimali zenye thamani ya bilioni moja. Bilioni ina milioni elfu moja NDANI yake. Ubilionea hupimwa kwa thamani ya fedha ya nchi husika. Kutokana na thamani za fedha kutofautiana, kwa sasa kipimo kinachotumika kupima ubilionea ni dola ya Marekani. Kwa hiyo ukisikia wanasema fulani ni bilionea, ujue ni kwa thamani ya dola…

 • Njia Tano Za Kutengeneza Utajiri Na Moja Kuu Inayokufaa

  Utajiri ni asili ya mwanadamu yeyote. Ni kitu muhimu kwake kuwa nacho. Kamusi ya kiswahili sanifu inasema kuwa utajiri ni hali ya kuwa na mali nyingi. Hata hivyo, leo hapa tunaenda kuona kuwa utajiri ni zaidi ya kuwa na mali nyingi. Maana kuna utajiri wa aina tatu. Kwanza, kuna utajiri mali na vitu vingine vizuri…

 • Hiki Ni Kipimo Tosha Kwamba Sasa Umekomaa Kwenye Fedha

  Kama unaweza kutembea na fedha, ukakutana na vitu vya kununua ila ukaacha kuvinunua japo una fedha, basi hapo ujue umeanza kukomaa. Kama hauna uwezo huu basi anza kuujenga. Tembea na kiasi fulani cha fedha, watu wakija kwako na vitu vya kukuuzia, wewe usinunue. Kila utakapopata kishawishi hiki, kishinde kwa kutoitumia hiyo fedha. Fanya hivyo kwa…

 • Hii Ni Tabia Moja MUhimu Ya Fedha Ambayo Unapaswa Kuifahamu

  Kuna tabia moja ya fedha ambayo ningependa uifahamu siku hii ya leo. Na tabiai hiii ni kwamba fedha huwa inawaendea zaidi wale wenye nazo na kuwakimbia wale ambao hawana. Kwa hiyo kama wewe una tabia ya kuwa unapokea fedha na kuitumia yote kwa mkupuo bila kubakiza kitu, unapaswa kufahamu kwamba fedha zitakuwa zinakukimbia mara kwa…

 • Hiki Ndicho Kitu Kinachofanya Watu Wakuombe Fedha

  Rafiki yangu bila shka umekuwa na siku bora sana. hivi umewahi kujiiuliza ni kwa nini ukiwa na fedh ndio watu wanajitokeza kukuomba fedha? Ila pale zikiisha tu watu wanaondoka mpaka pale utakapokuwa na fedha? Kuna kitu kimoja tu ambacho kinawafanya watu wakuombe fedha. Na kitu hiki ni kuwa wewe ukipokea fedha hautulii. Badala yake unakuwa…

 • Maneneo Sita (06) Ambapo Kila Kijana Mwenye Miaka 20-29 Anapaswa Kuwekeza

  Habari ya siku hii ya kipekee rafiki yangu, karibu sana kwenye makala hii ya siku ya leo. Ambapo tunaenda kujifunza maeneo sita kwa kjjana yeyote mwenye miaka kati 20-29 anapaswa kuwekeza.   Labda unaweza kujiuliza kwa nini leo niongelee kuhusu miaka 20-29. Jibu lake ni kwamba, hiki ni kipindi ambapo vijana wengi wanakuwa na ndoto…

 • Hivi Ndivyo Unavyopishana Na Gari La Mshahara Kwenye Zama Hizi Za Taarifa

  Rafiki yangu bila shaka siku ya leo ni siku njema sana kwako. karibu sana kwenye makala ya siku hii ya kipekee na leo kuna vitu viwili vikubwa. Kwanza nitekueleza kidogo historia ya binadamu alivyopitia kwenye zama mbalimbai na jinsi ambavyo kila zama ilikuwa na madhara yake. Pili nitaeleza kiundani kuhusu zama tulizomo sasa  hivi na…

 • Hizi hapa ni kazi nne za fedha

  Moja ya kitu ambacho watu wengi wamekuwa hawajui ni  kazi za fedha. Wengi wamekuwa wanafikiri kwamba fedha ina kazi mbili. huku wachache wakifikiri kwamba fedha ina kazi tatu na ni wachache zaidi ambao wanafikiri kwamba fedha ina kazi nne.  Hivyo leo nimeona nikuweke kwenye kundi la wachache zaidi ambao wanafahamu wazi kwamba fedha ina kazi…

 • Tabia Saba (07) Zinazoleta Umasikini Na Jinsi Ya Kuziepuka Ili Kutengeneza Utajiri

  Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana. Leo ikiwa ni februari 29 2020. siku zinazidi kusogea kwelikweli. Mwezi wa pili wa mwaka uliokuwa mpya, sasa unaelekea ukingoni. Siku chache zijazo tu utashangaa mwezi wa tatu huo umefika. Nina hakika moja ya lengo lako kubwa maishani ni kutokomeza umasikini na kujenga utajiri…

 • Hiki Ndicho Kitu Cha Pili Kinachofuata Kwa Umuhimu Baada Ya Oksijeni

  Hivi umewahi kujiuliza ni vitu gani ni muhimu sana hapa duniani? Je, ni vitu gani ambavyo usipokuwa navyo maisha hayaendi kabisa. Je, unavijua? Kiukweli binafsi najua vitu viwili mpaka sasa hivi. Usipokuwa na hivi hauna maisha. Cha kwanza kabisa ni oksijeni. Oksijeni inapatikana bure kabisa.  Ukikosa Oksijeni kwa zaidi ya dakika tatu, basi unaweza kupoteza…

 • VITU VITANO (05) VYENYE THAMANI ZAIDI HAPA DUNIANI

  Je, ushawahi kujiuliza ni vitu gani vyenye thamani kuliko vitu vingine hapa duniani? Je, vitu hivyo ni vipi? Sijawahi kumuuliza rafiki au ndugu yangu swali kama hili hapa, ila nina uhakika nikiwauliza watu walio wengi majibu ambayo watanipa yatakuwa ni majibu ya vitu kama magari, ndege, nyumba za kifahari na vitu vingine vya aina  hiyo.…

 • Vitu Vitano Ambavyo Vitakuweka Huru Kiuchumi Ndani Ya 2018

  Unaweza kuishi kqa siku ngapi kama mshahara wako utasitishwa leo? Unaweza kwenda hatua ngapi MBELE yako kama biashara yako itaanguka leo?Kitu kimoja na cha muhimu sana ambacho kila mwanadamu anakihitaji hapa duniani ni Uhuru. Wengi sana wamesema kwamba tumezaliwa huru. Sawa na Mimi nakubalina na hilo. Wengine wanasema binadamu wote ni huru na sawa, yaani…

 • Haya Ndio Matumizi Unayopaswa Kuhakikisha Umeyafanya Kila Siku

  Mara nyingi sana tunafanya matumizi kila siku, kila kunapokucha.  Kwani matumizi ni nini? Matumizi kwa maana ya rahisi ni kiwamba, matumizi ni pesa inayotoka katika mfuko wako. Hivyo kama unafanya mabadilishano yoyote yale ambayo yanahusisha utoaji wa pesa mfukoni mwako jua kwamba unakuwa unafanya matumizi. Mara nyingi sana matumizi haya ambayo yanafanyika ni kwamba huwa…

X