ACHA KUUA BIASHARA YAKO KWA KUFANYA VITU HIVIA HAPA. Vitu Saba (07)Ambavyo Unafanya Ila Vinaua Biashara Yako


Nichukue nafasi hii kukushukuru wee rafi ki yangu ambaye umekuwa unatembelea blogu kila mara.  Asan te sana. wewe ndiwe unanifanya niendelee kuandika kila siku na kuweka masomo mapya hapa bila kuchoka.

Nafurahi kuona kwamba blogu hii inawafikia maelfu ya watu kila mwezi. Ambao ninaamini wananufaika na hiki kinachoandikwa humu na hivyo kuendelea kuja zaidi ili wajifunze zaidi.

 

Ahadi yangukwako ni kwamba nitaendelea kuweka masomo zaidi kwenye jukwaa hili hapa bila kuchoka hivyo endelea kulitembelea.

 

Kwa sasa hivi pia nimeanzisha huduma ya kutoa mafunzo kupitia YOU TUBE CHANNEL. Nakushauiri sana  usisite ku itembelea kila siku pia ili upate kujifunza zaidi pia kutoka kwenye hiyo channel. Unaweza kuchukua hatua ya KUSUBSCRIBE Kwenye hiyo channel kwa kubonyeza HAPA/ nakutakia kila la kheri.

Naamini wewe utakuwa mtu mzuri pia wa kusambaza mambo mazuri sana kama haya

, , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X