-
Sifa Moja Kuu Ya Watu Wanaofanya Vitu Visivyo Vya Kawaida
Wanaofanya vitu visivyo vya kawaida siyo kwamba wao wameshuka kutoka mbinguni au wana upekee ambao wewe huna. Ni watu tu kama wewe ambao wamejitoa kufa na kupona kuhakikisha kwamba wanafika mbali. Na huo ndio mwanzo wao wa kufanya vitu visivyo vya kawaida Godius Rweyongeza
-
ACHA KUUA BIASHARA YAKO KWA KUFANYA VITU HIVIA HAPA. Vitu Saba (07)Ambavyo Unafanya Ila Vinaua Biashara Yako
Nichukue nafasi hii kukushukuru wee rafi ki yangu ambaye umekuwa unatembelea blogu kila mara. Asan te sana. wewe ndiwe unanifanya niendelee kuandika kila siku na kuweka masomo mapya hapa bila kuchoka. Nafurahi kuona kwamba blogu hii inawafikia maelfu ya watu kila mwezi. Ambao ninaamini wananufaika na hiki kinachoandikwa humu na hivyo kuendelea kuja zaidi ili…
-
Jijengee Utaratibu Wa Kusema Kidogo Na Kuwa Na Matendo Makubwa
Kuna usemi kuwa ni rahisi kusema ila vigumu kutenda. Na katika ulimwengu huu ambao tunaishi sasa hivi wasemaji ni wengi. au watu wenye maneno ni wengi. unaweza kukuta watu kwenye mitandao yao ya kijamii wameandika kwamba wao ni wakurugenzi wa makampuni, wakiwa hawaweki juhudi za kuanzisha hayo makapuni. Kitu pekee ambacho ninaweza kusema kwako…
-
Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani
Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani Habari ya siku hii ya kipekee sana rafiki yangu. Hongera sana kwa sikku hii ya kipekee. Leo hii nina habari njema sana kwako wewe mkazi wa Iringa na mikoa mingine ambayo imezunguka hapo karibu. habari hii ni kwamba vitabu vya KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI…
-
Mambo Saba (07) Ya Kufanya Pale Unapokuwa Hauna Cha Kufanya
Huwa inatokea kwa watu wengi mara nyingi, ambapo wanajikuta kwamba hawana kitu cha kufanya. Kitu hiki huwa kinawafanya watu wengi kuanza kuzunguka huku na kule wakisema kwamba wanapoteza muda. Sasa siku ya leo napenda nikwambie vitu vitano ambavyo utapaswa kufaya pale ambapo utakuwa unaona kwamba hauna kitu cha kufanya. KWANZA, SOMA KITABU Ukijikkuta katika mazingira…
-
Makala ya 600: Shukrani Kwa Wasomaji wa Songa Mbele Blog. Pongezi Kwa Godius Rweyongeza, Zawadi Kubwa Sana Kwako, Na Yajayo Yanafurahisha
Makala ya 600: Shukrani Kwa Wasomaji wa Songa Mbele Blog.Pongezi Kwa Godius Rweyongeza, Zawadi Kubwa Sana Kwako, Na Yajayo Yanafurahisha Leo ni siku ambapo zimefika makala 600 kwenye blogu hii. Hili ni jambo la furaha kwangu na kwa wote ambao tumekuwa kwa pamoja kwa siku zote hizi. Tarehe 21, septemba 2016 ilikuwa siku ambapo niliandika…
-
CHUMA KINANOA CHUMA
via https://youtu.be/LrBROehGr64
-
WEWE NI MENEJA WA MAISHA YAKO
via https://youtu.be/HAYwQ4jzne0
-
KUANZIA CHINI MAANA YAKE NINI? (Vitu unavyohitaji kuzingatia ili kuanzia chini).
via https://youtu.be/Nth04JsUEJw
-
TABIA TATU UNAZOPASWA KUWA NAZO KUELEKEA MAFANIKIO
via https://youtu.be/crreALVkcZI