Category: UCHAMBUZI WA VITABU

 • Uchambuzi Wa Kitabu Cha The Richest Man In Babylon

  Kitabu: The Richest Man in Babylon Mwandishi: Georges Clason Mchambuzi: Hillary Mrosso Simu: 255 683 862 481 Utangulizi Zaidi ya miaka 8000 imepita, mji mkuu uliojengwa kwa ustadi wa juu sana huenda kuliko miji yote duniani ulijulikana kama Babiloni. Sifa za mji huu zilitapakaa duniani kote sio tu kutokana na ustadi na ufahari wa majengo…

 • Mwongozo Unapouhitaji Kufikia Ndoto Zako

  Jana nilikuwa naongea na rafiki yangu ambaye amechukua vitabu vya JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO pamoja na NGUVU YA VITU VODOGO KUELEKEA MAFANIKIO MAKUBWA Inaonekana rafiki yangu kaelewa vizuri sana dhana ya hivi kitabu. Anasema hivi, Unahitaji kuwa na ndoto KUBWA. Ila haitoshi. Ili uifanikishe hapo ndipo utapaswa kutumia nguvu ya vitu VIDOGO KUELEKEA MAFANIKIO…

 • KITABU: MAAJABU YA KUSOMA VITABU

  Kupata kitabu hiki hapa BONYEZA HAPA   Mwezi wa tisa mwaka 2019 nilitoa kitabu MAAJABU YA VITABU bure kwa watu wote ili waweze kusoma na kujifunza maajabu yaliyofichwa kwenye kusoma vitabu. Mwanzoni sikutegemea kama kitabu hiki kingesomwa na watu wengi sana. Ila kilichotokea toleo la kwanza la kitabu hiki hapa lilisomwa na maelfu kwa maelfu ya…

 • Vitabu Nane (08) Nilivyosoma Mwezi Wa Saba

  Hiki ni kitabu cha TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA Kuanzia mwezi huu nimeanzisha utaratibu mpya ambao utakuwa unaniwezesha mimi kukushirikisha vitabu ambavyo nimesoma ndani ya mwezi uliotangulia. Kutoka kwenye orodha hiyo, nitakuwa nakuelekeza kitabu kimoja utapaswa kusoma Hivyo leo hii ninaenda kukushirikisha vitabu NANE ambavyo nilisoma mwezi uliopita. Kila kitabu nitapata nafasi ya kukiongelea kidogo, na…

 • Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani

  Taarifa Muhimu Kwa Wakazi Wa Iringa Na Mikoa Yote Ya Jirani Habari ya siku hii ya kipekee sana rafiki yangu. Hongera sana kwa sikku hii ya kipekee. Leo hii nina habari njema sana kwako wewe mkazi wa Iringa na mikoa mingine ambayo imezunguka hapo karibu. habari hii ni kwamba vitabu vya KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI…

 • Maneneo Sita (06) Ambapo Kila Kijana Mwenye Miaka 20-29 Anapaswa Kuwekeza

  Habari ya siku hii ya kipekee rafiki yangu, karibu sana kwenye makala hii ya siku ya leo. Ambapo tunaenda kujifunza maeneo sita kwa kjjana yeyote mwenye miaka kati 20-29 anapaswa kuwekeza.   Labda unaweza kujiuliza kwa nini leo niongelee kuhusu miaka 20-29. Jibu lake ni kwamba, hiki ni kipindi ambapo vijana wengi wanakuwa na ndoto…

 • Leo Ndio Siku Ya Mwisho Ya Zawadi Ya Kitabu Cha Bure Cha Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni Kuisha

  Rafiki yangu, bila shaka siku ya leo ni siku bora sana kwako.  Siku si nyingi sana nilitoa zawadi ya nakala ya bure kabisa ya  kitabu cha kutoka sifuri mpaka kileleni. Uliipata zawadi hii? Kama hukuipata, basi soma makala hii HAPA na uchukue hatua leo maana yamebaki masaa machache. Na leo ndio siku ya mwisho kabisa…

 • Mambo 13 Ya Kufanya Kila Siku Ili Kufikia Mafanikio Ambayo Umedhamiria

    Rafiki ni wazi kwamba kwamba mpaka sasa hivi umeshajitoa kuhakikisha kwamba unafikia malengo yako makubwa maishani. Umeshaamua kwamba hata iweje, lazima nifanyie kazi malengo yangu na kuyafikia. Na malengo yako yanaweza kuwa ni ya kifedha (kuufikia uhuru wa kifedha, au kuwa tajiri), yanaweza kuwa ni ya kiroho, kiakili, kimahusiano n.k.   Sasa ukizingatia kwamba…

 • Dibaji ya kutoka sifuri mpaka kileleni Kama Ilivyoandikwa Na Albert Nyaluke Sanga

    Habari ya siku ya leo rafiki yangu. Siku ya leo nimeona nikusogee walau kurasa chache kutoka kwenye kitabu cha kutoka sifuri mpaka kileleni ili uweze kuzisoma. Na kwa leo nimekuletea kwako Dibaji ya kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI  ambayo imeandikwa na Albert Nyaluke Sanga. Kama hujawahi kusoma kitu chochote kile kwenye kitabu hiki,…

 • Kitu Hiki Kimoja Huwezi Kujifunza Kwenye Vitabu

  Rafiki yangu kwa siku sasa nimekuwa nakusisitiza juu ya usomaji wa vitabu. Na kitu hiki ni muhimu sana kwako ili uweze kusoga mbele kimaisha. Hata hivyo kwenye kusoma vitabu kuna kitu kimoja ambacho inaonekana kabisa bado hujakifahamu. Kitu hiki ni kwamba hutakikuta kwenye vitabu. Na kitu hiki ni KUCHUKUA HATUA. Ujue unaweza kuwa unasoma vitabu…

 • UCHAMBUZI WA KITABU; THE 5 AM CLUB, Miliki asubuhi yako, miliki maisha yako

  Kitabu Cha THE 5 AM CLUB kilitoka katikati ya mwezi Wa 12, 2018. Binafsi, nilianza kukisoma wiki moja baada ya kutoka na nimekuwa nikikifanyia uchambuzi katika kundi LA HAZINA YETU TANZANIA. Mpaka ninaanza uchambuzi Wa Kitabu hiki nimesoma vitabu vingi sana, ila usomaji Wa Kitabu hiki umekuwa Wa kipekee sana.Kwa Mara ya kwanza nimeandika mambo…

 • UCHAMBUZI WA KITABU CHA WEALTH OF NATIONS-4 (Kupanda Na Kushuka Kwa Thamani Ya Pesa-2)

  Utajiri wa Mataifa Ukurasa 47-50 Kupanda na kushuka kwa thamani ya pesa. Imani yangu kwamba unaendelea kufuatilia kwa umakini chambuzi hizi hapa, tangu tumeanza mpaka hapa tulipo. Bado tunazidi kusonga mbele mpaka kieleweke. Soma Zaidi:  THE WEALTH OF NATIONS-3 (kupanda na kushuka kwa thamani ya pesa) “Kupanda na kushuka kwa thamani ya pesa hufuata kanuni…

 • UCHAMBUZI WA KITABU CHA WEALTH OF NATIONS-2

  Ukurasa wa 27-37 Utajiri Wa Mataifa “Katika miaka ya zamani, tunakuta kwamba vitu vilipewa thamani kulingana na idadi ya ng’ombe, mfano silaha ya kujikinga wakati wa vita (armour) iliyokuwa inatoka maeneo ya Diomede, ilikuwa sawa na ng’ombe tisa. Wakati silaha hiyo hiyo kutoka maeneo ya Glaucus ilikuwa ni sawa na ng’ombe mia. Chumvi ilikuwa ni…

X