Mafanikio siyo kitu kinachotokea mara moja kama ajali, bali ni kitu ambacho kinatokea kwa kuandaliwa kila siku.
Kwa hiyo mafanikio yako unapaswa kuyaandaa kila siku. Usisubiri ije itokee siku moja ambapo utaamka ukiwa umefanikiwa. Ishi kila siku yako kwa mafanikio.
Maana mkusanyiko wa siku moja moja ndio unaleta mafanikio makubwa.
Soma zaidi: Nguvu Ya Riba Mkusanyiko
Kupata Mafunzo Zaidi BONYEZA HAPA
One response to “Mafanikio Sio Ajali”
[…] Mafanikio Sio Ajali […]