Umuhimu Wa KUWEKEZA Kwenye Hisa


Kwa Tanzania kumekuwepo na hiki Kitu kinaitwa Vicoba na michezo. Wengi wamekuwa wanaweka fedha zao kwenye hii michezo, ambapo muda mwingine wanalizwa kwa kutopewa fedha zao.

Na muda mwingine wanaweka fedha kwa pamoja BAADAYE zinaibiwa na mtu mmoja, wahusika walio wengi wanaishia kulia. Nadhani huku ni kuangamia kwa kukosa maarifa. 

Kuelewa a kuhusu hisa na HATIFUNGANI unaweza kuanza na e-book ya MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE kwa elfu 5 tu.

Hivi wewe ushawahi kusikia kitu kinachoitwa hisa?

Hivi umewahi kujiuliza kwa nini unapaswa KUWEKEZA KWENYE HISA HATIFUNGANI au VIPANDE? Zina faida gani hizi hisa?

Kuna faida nyingi za KUWEKEZA kwenye HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE.

Kwa keo nimeona nikukaribishe uweze kumsikiliza Ezden Jumanne akizungumzia umuhimu wa KUWEKEZA KWENYE HISA HATIFUNGANI NA VIPANDE.

Video hii hapa.

VIDEO: UMUHIMU WA KUWEKEZA KWENYE HISA

Kupata e-book ya MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA HATIFUNGANI NA VIPANDE basi lipa elfu 5 kwa 0684 408 755 jina ni GODIUS RWEYONGEZA ili uipate.

SOMA ZAIDI: Ninawezaje kununua hisa na ninatakiwa kuwa na shilingi ngapi?

Inawezekana Wewe Kuwa Mwekezaji

Umekuwa nami
Godius Rweyongeza
0755848391
Morogoro-Tz

Baada ya hapo nitakutumia ebook hii kwa WhatsApp au telegram au kwa baruapepe.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X