KIPAJI NI DHAHABU-2: wekeza kwenye uwezo wako na siyo kwenye udhaifu wako


Kila mtu kuna eneo ambalo yuko vizuri.  Ukishaligundua hilo eneo ndilo sasa unapaswa kulipa nguvu na kuachana na udhaifu wako. Ukikazana kuboreaha udhaifu wako huwezi kufika mbali hata kidogo kwenye maisha.

Ukiwekeza kwenye uwezo wako zaidi na kuufanyia kazi, utakuwa bora zaidi.


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X