Thamani ya muda


 

Muda ni kitu chenye thamani kubwa sana hapa dunini. Ni watu wachache sana ambao wanajua thamani ya muda na hivyo ni wachache pia ambao wanapata kuutumia vizuri muda wao.

Leo nianze kwa kukambia kwamba kitu chochote kile unachotaka kufanikisha hapa duniani utakifanikisha ndani ya muda huu huu ulionao.

Hivyo, kitu kikubwa sana ambacho wew eunahitaji ni kuutumia vyema muda wako. 

Badala tu ya kuutumia hovyohovyo muda wako, unapaswa kuutumia vyema muda wako kwa sababu huu muda unaweza kukusaidia wewe kupata chochote kile unachotaka kwenye hii dunia.

Kwa kutumia muda huuhuu ulio nao kila siku, unaweza kazi zako zote ulizonazo.

Kwa kutumia muda huuhuu unaweza kufanyia kazi malengo yako bila ya kurudi nyuma.

Mbali na thamani ya muda hiyo yote ambayo tumeona, lakini utamkuta mtu anakwambia kwamba nipo hapa napoteza muda tu.

Utakuta mtu anakaribisha watu wanakuja kwake kupiga tu stori, muda ambao alipaswa kuwa anafanya kazi.

Rafiki yangu, muda wako ni mali. Utumie vyema muda wako na kamwe usikubali kwa namna yoyote ile kupoteza muda wako wa thamani. Muda wako ni mali na utumie vyema. Namna bora ya kutumia muda wako ni kuuwekeza.

Kama ulikuwa bado hujaweza kujipatia nakala ya kitabu cha JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO, muda wako wa kupata nakala ya kitabu hiki ni sasa. Kimeeleza kwa undani THAMANI YA MUDA na mpaka kinakuonesha namna unavyoweza kufahamu thamani ya saa lako moja.

Hii ni hatua muhimu sana kwako wewe unayependa kupiga hatua kubwa kwenye maisha yako ya kila siku. Kinapatikana kwa 30,000/- tu. Utakipata katika mifumo mitatu, nakala ngumu,nakala laini, na nakala ya sauti. Vvyote hivi utavipata kwa 30,000/- tu

Lipia sasa kwa namba ya simu 0684408755 ili uweze kupata nakala ya kitabu chako leo. Kila la kheri.

SOMA ZAIDI: Huku Ndipo Unapaswa Kuwekeza Asilimia Kubwa Ya Muda Wako

Najua kuwa ungependa kupata ushauri wa karibu zaidi moja moja kwa moja kutoka kwangu.

Nitafute tuone ni lini nitakuwa na muda, ili nikupangie ratiba ya kuongea na wewe. Utalipia kiasi kidogo tu.

Saa moja ni laki moja mazungumzo kwa njia ya mtandao.

SAA MOJA NI LAKI MBILI NA NUSU MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA. Malipo yanafanyika kwanza, kisha unapewa tarehe (appointment) tutakapoweza kuongea.

Tumia namba ya simu +255 755 848 391 kuwasiliana nami.

Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza ambaye anaishi Morogoro nchini Tanzania.

Unaweza kujifunza zaidi kutoka kwa Godius Rweyongeza kupitia youtube channel yake hapa

Kwa ushauri niandikie songambele.smb@gmail.com

Kupata vitabu ambavyo ameandika Godius Rweyongeza, wasiliana naye kwa +255 684 408 755 na orodha ya vitabu vyenyewe unaweza kuiona HAPA. Chagua unachopenda, kisha twanga,  +255 684 408 755

Kujiunga na programu yetu ya uandishi. Wasiliana na +255 678 848 396

For Consultation only: +255 755 848 391  au godiusrweyongeza1@gmail.com


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X