Category: ZAMA ZIMEBADILIKA

  • Anza Na Kina Kile Ulichonacho

    Kabla hujasema kwamba haiwezekani na wala siwez i kufanya kitu fulani, jihoji kiundani na uangalie ni kitu gani unaweza kufanya. Kuna vitu vingi unaweza vizuri tu Kabla hujasema kwamba, sina cha kuanza nacho, angalia vizuri ikwenye mazingira yako ni kipi ulicho nacho ambacho unaweza kuanza kutumia sasa hivi. Kuna vitu ulivyo navyo ambavyo unaweza kuanza…

  • Haya Ndio Maajabu Ya Zama Tunazoishi

    Habari ya siku hii ya kipekee rafiki yangu. Karibu sana kwenye makala hii ya kipekee sana. Leo hii tunaenda kujifunza maajabu ya zama hizi ambazo tunaishi. Na maajabu haya ni kuwa mteja anaweza kukuacha wewe hapo kwa kubonyeza mara moja tu na kwenda sehemu nyingine.   Ni wazi kuwa tupo kwenye zama ambazo biashara niyingi…

  • Jinsi Ya Kuutumia Muda Ulioupata Ndani Ya Kipindi Hiki Cha Korona Kwa Manufaa. Mambo Sita (06) Ya Kufanya Katika Kipindi Hiki Ambayo Hujaambiwa Na Mtu Yeyote

    Habari ya siku hii ya kipekee sana rafiki yangu. Hongera sana kwa kupata siku hii nyingine, kiukweli hakikisha kuwa siku hii unaitumia vizuri kwa ajili kufanya vitu vya toafuti.   Dunia nzima sasa hivi inapitia katika kipindi ambacho shughuli nyingi za kiuchumi zimefungwa. Hivyo kitu hiki kufanya watu wengi kuwa majumbani kwao bila majukumu ya…

  • Hivi Ndivyo Unavyopishana Na Gari La Mshahara Kwenye Zama Hizi Za Taarifa

    Rafiki yangu bila shaka siku ya leo ni siku njema sana kwako. karibu sana kwenye makala ya siku hii ya kipekee na leo kuna vitu viwili vikubwa. Kwanza nitekueleza kidogo historia ya binadamu alivyopitia kwenye zama mbalimbai na jinsi ambavyo kila zama ilikuwa na madhara yake. Pili nitaeleza kiundani kuhusu zama tulizomo sasa  hivi na…

  • Kitu Kimoja Cha Kishujaa Unachoweza Kufaya Kwa Dakika Moja Kikawa Na Manufaa Maisha Yako Yote

    Rafiki yangu, hongera sana kwa nafasi hii nyingine ya kipekee sana. Bila shaka siku ya leo ni siku yako ya kipekee sana. Ujue shujaa ni mtu ambaye anaheshimika sana kwenye jamii zetu. Lakini siku hizi jinsi ushujaa unavyopatikana ni tofauti kabisa na zamani. Wakati zamani ulihitajika tu uende vitani upigane na kulifanya taifa lako au…

  • ZAMA ZIMEBADILIKA-5

    Moja kati ya usemi ambao kocha Makirita Amani amekuwa akiutumia ni usemi kwamba, tunaishi katika zama ambapo mtu wa kawaida  ana vyanzo vingi vya maarifa kuliko mfalme wa karne ya 15″. Usemi huu unasimama kama ulivyo bila hata kuhitaji miguu ya ziada kuubeba. Kiwango ambacho binadamu amekuwa akipata maarifa  kimekuwa kikibadilika Kutoka kizazi kimoja hadi…

  • ZAMA ZIMEBADILIKA-3

    Mwaka 1982 Buckminster Fuller alianzisha kitu kinachojulikana kama  Knowledge Doubling Curve. Katika mchoro huo Buckminster alionesha kwamba mpaka mwaka 1900 maarifa yalikuwa yanaongezeka mara dufu kila baada ya miaka 100. Ila ndani ya miaka 45 kufikia mwaka 1945 maarifa yalikuwa yanabadilika kila baada ya miaka hamsini. Sasa tumefikia kiwango ambapo maarifa yanabadilika kila baada ya…

  • ZAMA ZIMEBADILIKA-2

    Mtu mmoja aliwahi kusema kwamba tupo katika zama ambazo mtu anaweza kuwa maarufu dunia nzima ndani ya dakika kumi na tano tu! Ukweli huu sio wa kubeza hata kidogo. Ukiangalia kwenye zama za sasa utaona kwamba, 👉unaweza kutoa video moja ukashangaa Ndani ya muda kidogo imesambaa maeneo mengi sana. 👉Pengine mtu ambaye ulikuwa hutegemei kabisa…

  • ZAMA ZIMEBADILIKA -1

    Zama za sasa hivi zimebadilika kabisa. UKitaka kupata matokeo ya tofauti kwenye zama hizi basi Unapaswa kuwa tayari kufanya vitu vya tofauti na vile ulivyozoea. Kiufupi ni kwamba vitu ambavyo vimekufikisha wewe hapo ulipo, havitweza kukusogeza mbele zaidi ya hapo. Kwa hiyo unapaswa kujisukuma zaidi ya hapo, ili uweze kupata matokeo ya kitofauti kabisaa! Moja…

  • Zama Zimebadilika, Unafanya Nini Ili Mabadiliko Haya Yasikuathiri

    Hongera sana rafiki yangu kwa nafasi hii ya kipekee sana ya kuishi tena, leo. Imani yangu kwamba umeshukuru kwa kupata nafasi ya kipekee. Lakini pia unaitumia siku hii ya kipekee kufanya makubwa sana. Leo hii tuzungumzie mabadiliko ya zama. Kama ambavyo nimekuwa nakwambia siku zote, ni kwamba zama za sasa hivi zimebadilika sana. Moja kati…

X