Kabla hujasema kwamba haiwezekani na wala siwez i kufanya kitu fulani, jihoji kiundani na uangalie ni kitu gani unaweza kufanya. Kuna vitu vingi unaweza vizuri tu
Kabla hujasema kwamba, sina cha kuanza nacho, angalia vizuri ikwenye mazingira yako ni kipi ulicho nacho ambacho unaweza kuanza kutumia sasa hivi. Kuna vitu ulivyo navyo ambavyo unaweza kuanza kutumia sasa.
Kikubwa ni wewe kuabngalia vizuri rasailimali ulizonazo na kuhakikisha kwamba unazitumia vizuri.
SOMA ZAIDI: MITAJI 8 ILIYOKUZUNGUKA NA JINSI YA KUITUMIA