-
Weka lengo la kuandika kitabu

Weka lengo la kuandika Kila siku, hata kama ni kurasa mbili au hata Aya moja au sentensi moja tu. Kikubwa uwe kwenye mwendo muda
wote.www.songambele.co.tz
Telegram: https://t.me/jifunzeuandishi
-
jukumu la kufanikisha Malengo Yako ni kwako

Nakukumbusha tu kuwa jukumu la kufanikisha Malengo Yako ni kwako siku zote.
Wala siyo la
Mjomba
Shangazi au mtu mwingine awaye yeyote.
Ukishindwa ni juu yako, ukishinda pia ni juu yako.
-
Upo tayari kubadili mtazamo wako?

Upo tayari kubadili mtazamo wako?
Mtazamo wako ni mmoja ya kitu MUHIMU unachopaswa kubadili. Usispobadili mtazamo wako, hutabadili MAISHA Yako
1. Badili mtazamo wako kwenye jukumu la MAISHA Yako.
Fahamu wazi kuwa MAISHA ni Wajibu wako, ukishindwa ni juu Yako, ukishinda ni juu Yako.
Usisubiri watu wengine watimize Wajibu ambao unakuhusu wewe
2. Badili mtazamo wako kwa kufanyia kazi Yale ambayo wewe umekuwa unapanga kufanya kazi, badala tu ya kukaa ukitakani kufanyia kazi vitu Fulani, ingia ulingoni kabisa na ufanyie kazi Yale ambayo unapaswa kuyafanyia kazi.
3. Badili mtazamo wa kuanza kuweka akiba na KUWEKEZA. Kiasi unachoweka kama AKIBA Leo, hata kama ni kidogo, kitakupeleka oakubwa hapo baadaye.
4. Badili mtazamo wako kwa kuanza kujifunza kwa watu waliojenga utajiri. Ni kwa namna hiyo, utaweza kujenga utajiri pia.
Salaam,
-
NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO
NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO
-kitu kimojawapo kinachoweza kukusaidia KUKUZA BIASHARA YAKO kwa haraka zaidi*Watu wengi wamedumaa kwenye biashara kwa kuangalia lengo Moja tu la mauzo.Hatakama utafanya mauzo sana utajikuta unaanza kupoteza
1) HUMAN RESOURCES
-Biashara pamoja na BIDHAA na HUDUMA unayotoa kitu Cha MUHIMU pia katika biashara ni watu na ni MUHIMU sana kuchagua watu sahihi katika biashara
Watu wanaweza kuharibu JINA la biashara na ubora wa BIDHAA👉.Hata wewe Kuna sehemu unaweza ukaenda sio sababu ya HUDUMA unayoipata pale sana ni sababu ya mtu ambae anatoa hiyo HUDUMA mahali pale.
👉Kwa hivyo ni MUHIMU sana kuchagua watu sahihi wa kufanya kitu ambacho unataka kukifanya kama biashara
-Ni Bora utumie gharama nzuri na kubwa kupata mtu sahihi kwenye kufanya biashara yako kuliko KUTAFUTA cheap labour ambae ataharibu biashara na pengine ataharibu uhusiano ulionao na wateja.Makala hii imeandaliwa nami,
Faith Mark Mrema
0742 825 286
Morogoro_Tanzania -
Ukiandika Kitabu hata baada ya kuaga Dunia unaendelea kuishi kupitia kitabu chako

Unaweza kuaga Dunia kimwili, ila ukaendelea kuishi kupitia kitabu chako. Kama hujaandika kitabu chako, Fanya hivyo Leo.
Hakikisha umepata kitabu Cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU Leo.
Kupata nakala, nicheki Kwa 0684 408 755
Wasap: 0745 848 395
-
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
Ili uweze kufikia Malengo na MAFANIKIO unayotaka lazima ukubali kuacha baadhi ya mambo
🤷MAFANIKIO kwako yanaweza kuwa na maana tofauti ,Kila mmoja wetu na wengi wetu hutafsiri MAFANIKIO ni kama Pesa,umaarufu,majumba,magari,.Wengine hutafsiri kama MAFANIKIO kwako ni furaha,Amani,uhuru,inategemea ni JINSI Gani unaweza kutafsiri MAFANIKIO kwako wewe mwenyewe👉Ukijua maana ya MAFANIKIO kwako basi ni MUHIMU sana kujua mambo ambayo yanaweza kukuzuia wewe KUFIKIA MAFANIKIO katika MAISHA
👇👇
1)ACHA KUTAFUTA NJIA FUPI ILI KUFANIKIWA
-Itakuwa mbaya sana kama utafanya hivyo MAFANIKIO ya kweli katika chochote unachotaka utafanikiwa kwa kufanya kazi kwa bidii
2)ACHA KUWA NA MAWAZO MGANDO
-Uwezo au ujuzi wa mtu unatakiwa uwe na MAWAZO ya kukua na aina hii ya MAWAZO utafanya kazi kuwa vizuri zaidi na kupata uzoefu zaidi
3)ACHA KULAUMU WENGINE
-Utakapofeli katika jambo lako acha KULAUMU wengine siku zote kubaki kuwa wewe mwenyewe ndie unaehusika kwa kiasi kikubwa
4)ACHA KUSEMA SINA MUDA
_Anza kuanza kutumia muda wako vizuri na uache kusema huna Muda mwingine wa kufanya jambo la ziada
Tuna muda wa kiwango sawa kama wengine kwa siku ni kuamua ni njia gani utakavyo tumia Muda wako5)ACHA KUTEGEMEA KUPATA ZAIDI BILA YA KUFANYA ZAIDI
-Unatakiwa kufanya kazi kwa bidii Ili kupata promotion au mshahara mkubwa kazini biashara zilizofanikiwa kupata mapato mengi kwa kutoa THAMANI kwanza kwa WATEJA wao na kupata MAFANIKIO. Acha kusubiri Mpaka mambo yakae sawa ndio uanze kufanya kazi kwa bidii6)Acha kusubiri
-Usikubali uoga wako ukurudishe nyuma chochote ulichokuwa unapanga, unaota,unawaza kama ulipanga kuanzisha biashara chukua hatua hiyo sasa weka uoga pembeni na Anza kufanya kituMakala hii imeandaliwa nami,
Faith Mark Mrema
0742 825 286
Tanzania_Morogoro -
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE 😊
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
Ili uweze kufikia Malengo na MAFANIKIO unayotaka lazima ukubali kuacha baadhi ya mambo
…MAFANIKIO kwako yanaweza kuwa na maana tofauti ,Kila mmoja wetu na wengi wetu hutafsiri MAFANIKIO ni kama Pesa,umaarufu,majumba,magari,.Wengine hutafsiri kama MAFANIKIO kwako ni furaha,Amani,uhuru,inategemea ni JINSI Gani unaweza kutafsiri MAFANIKIO kwako wewe mwenyewe👉Ukijua maana ya MAFANIKIO kwako basi ni MUHIMU sana kujua mambo ambayo yanaweza kukuzuia wewe KUFIKIA MAFANIKIO katika MAISHA
👇👇
1)ACHA KUTAFUTA NJIA FUPI ILI KUFANIKIWA
-Itakuwa mbaya sana kama utafanya hivyo MAFANIKIO ya kweli katika chochote unachotaka utafanikiwa kwa kufanya kazi kwa bidii
2)ACHA KUWA NA MAWAZO MGANDO
-Uwezo au ujuzi wa mtu unatakiwa uwe na MAWAZO ya kukua na aina hii ya MAWAZO utafanya kazi kuwa vizuri zaidi na kupata uzoefu zaidi
3)ACHA KULAUMU WENGINE
-Utakapofeli katika jambo lako acha KULAUMU wengine siku zote kubaki kuwa wewe mwenyewe ndie unaehusika kwa kiasi kikubwa
4)ACHA KUSEMA SINA MUDA
_Anza kuanza kutumia muda wako vizuri na uache kusema huna Muda mwingine wa kufanya jambo la ziada
Tuna muda wa kiwango sawa kama wengine kwa siku ni kuamua ni njia gani utakavyo tumia Muda wako5)ACHA KUTEGEMEA KUPATA ZAIDI BILA YA KUFANYA ZAIDI
-Unatakiwa kufanya kazi kwa bidii Ili kupata promotion au mshahara mkubwa kazini biashara zilizofanikiwa kupata mapato mengi kwa kutoa THAMANI kwanza kwa WATEJA wao na kupata MAFANIKIO. Acha kusubiri Mpaka mambo yakae sawa ndio uanze kufanya kazi kwa bidii6)Acha kusubiri
-Usikubali uoga wako ukurudishe nyuma chochote ulichokuwa unapanga, unaota,unawaza kama ulipanga kuanzisha biashara chukua hatua hiyo sasa weka uoga pembeni na Anza kufanya kituMakala hii imeandaliwa nami,
Faith Mark Mrema
0742 825 286
Tanzania_Morogoro -
Kitabu Siyo Ubwabwa

Mwanzoni utatumia gharama kubwa
. Kuandika
. Kuhariri
. Kupata ISBN na Barcode
. KuchapaHuu ni uwekezaji, Kwa sababu kitabu siyo kama ubwabwa kwamba kikiiva unakula unananawa na kusubiri kuandaa kingine.
Kitabu kikiiva, kimeiva, watu wanaendelea kula maarifa maisha yote, hata baada ya wewe kufa.
www.songambele.co.tz
-
Usitafute ukamilifu mwanzoni mwa kuandika Kitabu Chako, tafuta kuanza

Lakini ninachoandika mbona siyo kizuri, anajiuliza mmoja wa waandishi. Ukweli ni kuwa wewe mwanzoni Anza kuandika TU, andika hata kama mwanzoni huoni huo uzuri. Baadaye utaboresha
-
Usisubiri Uwe na Muvi Kichwani Ili uandike kitabu chako. Una mengi ya kuandika leo

Anayekwambia kwamba usubiri mpaka uwe na muviq kichwani Ili uandike kitabu chako anakudanganya. Wewe hapo ulipoq na ninavyokuona wewe una mengi ya kuandika
- elimu Yako
- uzoefu wako
- utalaam wako
- kitu unachopenda kufuatilia
- changamoto zinazoikumba jamii Yako
- Kitu unachopenda kufuatilia
- changamoto zinazoikumba jamii
- na mengine mengi
haya yote yanaweza kuwa chanzo Cha wewe kuandika na kukamilisha kitabu chako.
Kila la kheri
kupata usimamizi au msaada wa kuandika Kitabu Chako tumia 0678 848 396