-
Njia Rahisi Ya kuandika Kitabu Hata Kama Uko Bize
Habari rafiki yangu, Watu wengi wana malengo ya kuandika vitabu lakini hukosa muda wa kuandika kutokana na majukumu mengi yanayowabana. Mara nyingi wanapanga kuandika jioni baada ya kazi, lakini wanajikuta wamechoka na hawawezi kuandika tena. Je, kuna njia rahisi ya kuandika hata kama uko bize? Ukweli ni kuwa njia hiyo ipo. Amka asubuhi na mapema,…
-
Kanuni Ya Imani Ya PESA
Ni kutafufa PESA ili ifike hatua hata kama watu hawakuheshimu basi waheshimu PESA zako. PESA ni kitu ambacho unapaswa kukipambania kila kukicha, asubuhi mchana na jioni. Zipende PESA kwa sababu bila ya kuzipenda hazitakupenda. Maana fedha Ina tabia ya kwenda kwa watu wanaoipenda. Kwa hiyo kuanzia leo, ipende fedha nayo itakupenda.
-
Hiki Kitu Ambacho Kinaua Ndoto Zako Kwa Ukubwa
Nitaifanya kesho anajua ndoto za watu wengi. Ukweli ni kuwa huwezi kuendelea kusema kwamba nitaifanya kesho badala ya kuchukua hatua na kufanya kitu Leo. Muda mzuri wa kufanya jambo lako na kulifanikisha ni Leo. Chukua hatua Sasa. Utajishukuru kesho kuwa Leo uliweza kuchukua hatua kuliko ambavyo utajilaumu. Uwe na siku njema Godius Rweyongeza 0755848391 Morogoro;…
-
Kitu Muhimu Ambacho Kila mwandishi anapaswa kuwa anafanya
moja ya kazi muhimu sana ambayo kama mwandishi unapaswa kuhakikisha kwamba umeifanya ni kuandika. hauwi mwandishi kwa kujiita tu mwandishi, bali unakuwa mwandishi kwa kuandika. Mwandishi anaandika. Hivyo wito wangu mkubwa kwako wewe mwandishi ni kwamba ukae chini na uandike kitabu chako au makala ambayo unafikiria kuandika bila ya kurudi nyuma. Naomba unisikilize vizuri.Kwa kawaidaDaktari…
-
Unahitaji kuwa mtu wa pekee ili kuandika kitabu?
Watu wengi huwa wakifikiria kuhusu kuandika kitabu, basi kitu cha kwanza ambacho huwa kinakuja kwenye akili yao ni kwamba unapaswa kuwa mtu wa pekee kabisa. Nakubaliana na watu hawa kwamba ili kuandika kitabu chako unapaswa kuwa wa pekee. Na upekee mkubwa ambao unauhitaji wewe ili kuandika kitabu chako na kukikamilisha ni NIDHAMU YA KUKAA CHINI…
-
Mambo 16 unayopaswa kuanza kuyafanyia kazi kuanzia Leo hii
1. Weka akili Yako pale unapotaka kuwa. Fanya kile unachojiita. Mimi ni mwalimu, muda mwingi fundisha. Mwekezaji, wekeza. Mfanyabiashara, 2. Ambatana na watu ambao ungependa kujifunza kwao. Kama Hawa watu hawako karibu Yako, Toka eneo Hilo na uende sehemu nyingine. 3. Kuwa eneo ambalo linasapoti juhudi zako, kwa rasilimali, mamenta n.k. 4. Kujitoa. Unatumia kila…
-
Njia rahisi sana ya kuandika kitabu ndani ya mwaka mmoja?
Tupige hesabu kidogo Ukiandika maneno 100 Kila siku, Kwa mwaka ni maneno 36,500. Hiki ni kitabu tosha. Unadhani maneno 100 ni mengi. Ujumbe wa leo una maneno 48 TU! Unadhani unashindwa maneno 100 Kila siku. Fikiria sms unazotumaComment unazoweka Whatsapp,Facebook n.k Bado unadhani huwezi? Njoo tukusaidie kuandika na tukupe mwongozo wa kuandika Kitabu Chako.Tuwasiliane Kwa…
-
Raha ya kuandika Kitabu ni pale unapokimaliza. Unajua Kwa Nini?
Kuanza ni kazi kubwa. Wengi Huwa hawaanzi. Ila kuendelea ulichoanza ni kazi kubwa zaidi, Wengi ambao hujitahidi kuanza, huishia njiani. Usiwe mmoja wao linapokuja suala la kuandika Kitabu. Anza kuandika Kitabu na kimalize. Karibu sana SONGAMBELE CONSULTANTS ✅ Tunakuandikia kitabu chako (ghostwriting) ✅ Tunatoa mwongozo wa kuandika kitabu chako ✅ Kuhariri vitabu ✅ Tunatoa usimamizi…
-
Kama unaandika kitabu chako Kwa ajili ya faida za kiuchumi TU. Nina Habari Njema Na Mbaya Kwa ajili kwako
Siku za nyuma nimewahi kuandika nakala inayoeleza sababu 18 Kwa Nini tunaandika vitabu na Kwa Nini wewe unapaswa kuandika Cha kwako. Unaweza kupata na KUSOMA makala hii hapa Au unaweza kuisikiliza pia Kwa sauti hapa Sasa mbali na hizo sababu hapo juu. Kuna ndugu anataka kujua sababu za kiuchumi TU ambazo ndizo ziwe chachu ya…
-
Kama una changamoto ya kuandika Kitabu Chako Na Kufuta, Kuna Kitu Hiki Hapa Unapaswa KUZINGATIA
Unaandika unafuta Nini? Andika kwanza kitabu chako chote bila kufuta.Utafuta wakati unahariri. Kupata msaada wa kuandikiwa Karibu SONGAMBELE CONSULTANTS ✅ Tunakuandikia kitabu chako (ghostwriting) ✅ Tunatoa mwongozo wa kuandika kitabu chako ✅ Kuhariri vitabu ✅ Tunatoa usimamizi wa karibu kwenye uandishi wa kitabu chako ✅ Tuna vitabu bora vyenye hatua muhimu za kufuata katika uandishi …
-
Kama Unataka Kuandika Kitabu Njoo Nikusaidie Kufanikisha Haya Haraka
Wewe niletee kitabu chako TU, nami nitakusaidia Kwa masuala yote yanayohusiana na uandishi wa vitabu. Nicheki Sasa Kwa namba ya simu 0755848391 Ili tumalize mchezo.
-
Ushawahi kuona kitabu, halafu ukasema na Mimi ningeweza kuandika hicho?
Ushawahi kuona kitabu, halafu ukasema na Mimi ningeweza kuandika hicho? Suala kubwa kubwa siyo kwamba na wewe unaweza kuandika hicho . Suala kubwa hapa ni kwamba unajua na HUANDIKI. Unadhani Kuna watu wangapi wanajua vitu na hawafanyi? Kuna wanaohua kuwa ulevi ni NOMA, ila Bado wanalewa TU. Wengine uvitajiq wa sigara ni mbaya Kwa afya,…
-
Kiashiria Kwamba Umeshindwa Kuandika Kitabu Chako
Rafiki yangu mpendwa, kitabu ambacho hujachukua hatua ya kukiandika kinakushinda. Ni mpaka pale utakapokuwa umeamua kuchukua HATUA na kuandika Kitabu Chako ndiyo kitabu chako kitafanikiwa HATUA za kuchukua Leo. 1. Jua wazo lako ni lipi hasa kwenye kuandika Kitabu Chako. 2. Anza kukiandika Kitabu Chako 3. Jiunge na kundi letu la telegram hapa https://t.me/jifunzeuandishi Godius…
-
Kitabu kitakachokusaidia Kuandika Kitabu
Siku ya Leo hakikisha unapata kitabu Cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU MBOBEVU. Kitakusaidia sana kuandika Kitabu Chako Kwa miezi sita hii ijayo. Safari ndiyo kwanza imeanza.Piga 0655 848 392 kupata nakala Yako.
-
Sikiliza, USIKATE TAMAA kwenye kuandika Kitabu Chako
Kuanzia Leo tuna miezi sita Kamili. Isiyo na chenga KABLA ya mwaka huu kuisha. Kama upo siriazi ndani ya hii miezi sita hutashindwa kuandika kitabu chako. Nakuhakikishia. Unaweza kujiuliza kivipi? Beep 0755 848 391 nikupigie tuongee Ili uweke plan Yako vizuri ya kuandika.
-
Weka lengo la kuandika kitabu
Weka lengo la kuandika Kila siku, hata kama ni kurasa mbili au hata Aya moja au sentensi moja tu. Kikubwa uwe kwenye mwendo muda wote.www.songambele.co.tz Telegram: https://t.me/jifunzeuandishi
-
jukumu la kufanikisha Malengo Yako ni kwako
Nakukumbusha tu kuwa jukumu la kufanikisha Malengo Yako ni kwako siku zote. Wala siyo la Mjomba Shangazi au mtu mwingine awaye yeyote. Ukishindwa ni juu yako, ukishinda pia ni juu yako.
-
Upo tayari kubadili mtazamo wako?
Upo tayari kubadili mtazamo wako? Mtazamo wako ni mmoja ya kitu MUHIMU unachopaswa kubadili. Usispobadili mtazamo wako, hutabadili MAISHA Yako 1. Badili mtazamo wako kwenye jukumu la MAISHA Yako. Fahamu wazi kuwa MAISHA ni Wajibu wako, ukishindwa ni juu Yako, ukishinda ni juu Yako. Usisubiri watu wengine watimize Wajibu ambao unakuhusu wewe 2. Badili mtazamo…
-
NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO
NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO-kitu kimojawapo kinachoweza kukusaidia KUKUZA BIASHARA YAKO kwa haraka zaidi *Watu wengi wamedumaa kwenye biashara kwa kuangalia lengo Moja tu la mauzo.Hatakama utafanya mauzo sana utajikuta unaanza kupoteza 1) HUMAN RESOURCES-Biashara pamoja na BIDHAA na HUDUMA unayotoa kitu Cha MUHIMU pia katika biashara ni watu na ni MUHIMU sana kuchagua watu…
-
Ukiandika Kitabu hata baada ya kuaga Dunia unaendelea kuishi kupitia kitabu chako
Unaweza kuaga Dunia kimwili, ila ukaendelea kuishi kupitia kitabu chako. Kama hujaandika kitabu chako, Fanya hivyo Leo. Hakikisha umepata kitabu Cha JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU Leo. Kupata nakala, nicheki Kwa 0684 408 755 Wasap: 0745 848 395