Siku ya leo tunaenda kuona ni kwa namna gani unaweza kupata mtaji wa biashara. Mtaji wa biashara kimekuwa ni kitu ambacho vijana wengi wanahangaika nacho. Wengi sana wamekuwawanauliza ni kwa jinsi gani naweza kupata mtaji wa kuanzia biashara.
Tayari nimeshaandika ebook inayoeleza mitaji 8 iliyokuzunguka na jinsi ambavyo unaweza kuitumia hiyo mitaji.
Lakini siku ya leo nataka tujikite hasa kwenye mtaji fedha. Mtaji fedha unaipataje? Unapataje fedha za kuanzisha biashara? Kujibu hilo swali, acha tufuatilie haya mafunzo ya youtube maana yana kila kitu unachohitaji kujua kuhusu MTAJI FEDHA.
- SOMA ZAIDI: Kwa Nini Mpaka Sasa hivi huanzishi biashara yako?
- Hivi Ndivyo Unaweza Kupata Mtaji Wa Biashara Ukiwa Bado chuo
- Maeneo Matatu Unayoweza Kuwekeza Kama Hauna Pesa/Mtaji
Umekuwa nami
Godius Rweyongeza
0755848391
Morogoro-Tz