Mara yako ya mwisho kupima thamani ya utajiri wako ni lini?


Nakumbuka siku za nyuma niliwahi kuandika makala iliyokuwa inakueleza hatua kwa hatu anamna ya kupima thamani ya utajiri wako. Kama hukupata kuisoma hii makala, unaweza kuisoma sasa hapa.

Na kama uliisoma basi isome kwa mara nyingine leo kwa kUBONYEZA HAPA.

Leo ningependa tu kujua mara yako ya mwisho kupima thamani ya utajiri wako ilikuwa ni lini?

Kama bado hujajingea utaratibu wa kupima thamani ya utajiri wako, sasa ndiyo muda mzuri wa kupima thamani ya utajiri wako.

Anza sasa hivi, kuwa unapima thamani ya utajiri wako.

Hili litausaidia kila mara kuwa unajua uko wapi?

Lakini pia litakusaidia kujua kama unaosogea mbele kwenye kulifanyia kazi lengo lako au umekwama.

Muhimu zaidi, ni wewe kujiwekea kiwango cha utajiri ambacho ungependa kufikia. Na kukifanyia kazi hicho kiwango kila siku ili uweze kukifikia.

SOMA ZAIDI:

Najua kuwa ungependa kupata ushauri wa karibu zaidi moja moja kwa moja kutoka kwangu.

Nitafute tuone ni lini nitakuwa na muda, ili nikupangie ratiba ya kuongea na wewe. Utalipia kiasi kidogo tu.

Saa moja ni laki moja mazungumzo kwa njia ya mtandao.

SAA MOJA NI LAKI MBILI NA NUSU MAZUNGUMZO YA ANA KWA ANA. Malipo yanafanyika kwanza, kisha unapewa tarehe (appointment) tutakapoweza kuongea.

Tumia namba ya simu +255 755 848 391 kuwasiliana nami.

Makala hii imeandikwa na Godius Rweyongeza ambaye anaishi Morogoro nchini Tanzania.

Unaweza kujifunza zaidi kutoka kwa Godius Rweyongeza kupitia youtube channel yake hapa

Kwa ushauri niandikie songambele.smb@gmail.com

Kupata vitabu ambavyo ameandika Godius Rweyongeza, wasiliana naye kwa +255 684 408 755 na orodha ya vitabu vyenyewe unaweza kuiona HAPA. Chagua unachopenda, kisha twanga,  +255 684 408 755

Kujiunga na programu yetu ya uandishi. Wasiliana na +255 678 848 396

For Consultation only: +255 755 848 391  au godiusrweyongeza1@gmail.com


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

X